Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
Habari wakuu ,
Bado tupo kwenye mapambano ya kubadilisha Hali za uchumi wetu, nilikua naomba msaada wa mawazo ya biashara aina yoyote ambayo mtu anaweza kufanya akiwa na mtaji wa M4.
Mawazo...
Katika kuwajengea uwezo wazalishaji wa chimvi nchini,Serikali imekuja na mikakati mbalimbali kufikia azma hiyo ikiwemo upunguzaji wa ada ya pango kwa mwaka ya leseni (Annual Rent) za uchimbaji...
Wewe kama mfanya biashara mara kadhaa unaweza kuchelewa au kusahau ku file taxes zako kutokana na sababu kadha wa kadha.
Lakini vipi kama nikikwambia Kuna tarehe 3 tuu ambazo ukizishika hauta...
Leo nitakusimulia story yenye machozi ya damu ya mahasimu wawili wa biashara kwenye Sekta moja, "alcohol"
Mr. Jackson (fiction name) ni Mmiliki wa Kampuni ya SIMBA inayojihusisha na uzalishaji na...
Wakuu habari,niende kwenye mada. Ambae ana uzoefu na hawa DusuPay naomba anishirikishe tafadhali. Je wako vizuri? Pesa zinafika kwa wakati?
Na pia je wanaruhusu utengeneze Payment links kama hauna...
Habari wana JamiiForums Karibuni tujadili mawazo ya biashara ambayo yaweze kukutanisha na watu ambao wanauzoefu na hiyo biashara kujadili kwa kina kama kupata uzoefu karibu tujadili
Habari wana JF.
Kwa ambaye amewahi pata mkopo kwenye hizi microfinance na akaridhika na huduma kwa maana ya huduma inayoendana na mkataba na isiyo na janjajanja naomba anijuze nipo Dar.
Hapa...
Habari wanajamii
Kuna utitiri wa maduka mengi sana hapa bongo, mbaya zaidi mengi ya haya maduka yanauza bidhaa nyingi ambazo hazina manufaa kwa taifa!
Kinachoniumiza ni kuona kutokuwepo wa...
Habari wana jamii kama kichwa cha uzi kinavyojieleza kama kuna wafanyabiashara wa kariakoo mnaouza suruali za vitambaa aina ya boss naomba tufahamiane kwa lengo la kufanya biashara pm yangu iko...
JIKO LA GESI NA UMEME 330 000 maongezi yapo kwa hilo jiko...liko vizuri kabisa....ndo natumia hadi sasa
plate mbili gesi, plate mbili umeme
napatikana Dsm
piga 0683473391
kwa maongezi zaidi
Kama hukubahatika kuzaliwa katika familia tajiri basi karata yako iliobaki ni kuwekeza katika nyanja mpya za kibiashara, hata kama haina hesabu za faida kwa saahv ila wewe wekeza, kwa mfano kuna...
Habari wadau hivi anamiliki wa maduka mitaani sio kariakoo tuseme Tabata au kimara hivi mnaomiliki maduka ya fashions nguo,viatu na mikoba mnategemea wapita njia tu au kuna mbinu zingine...
"Appeal Letters" ni barua ambayo huandaliwa na Taasisi kwenda kwa mfadhili (supporter) kwa ajili ya uombaji wa ufadhili. Barua hii, ni nyenzo muhimu ya mawasiliano baina ya Taasisi na Mfadhili...
Salaam, mara nyingi nimekuwa mpenzi mtazamaji hapa JF, leo nkaona nidondoshe uzi kwa mara ya kwanza, nilipotaka weka uzi platform ikanitaka niwe a registered member basi nikafanya hivyo nakusubiri...
Kile unachodhani ni takangumu ya kutupa au kuchoma moto kwa msanii wa ubunifu ni malighafi ya kutoa kitu cha kushangaza.. Ni uwezo wa aina yake kugeuza kisicho na faida kuwa cha faida
Karibuni sana vunjabeimtumbagrade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 tuna balo za nguo aina zote Leo nawapa Bei ya nguo baadhi tu
✅Jeans kiume 450000 kike 320000 PC 80 mpk 90
✅nguo ya mtoto...
Kama unataka kuendesha biashara yako kwa njia halali, salama, na yenye fursa pana, basi kupata Leseni ya Biashara ni hatua ya kwanza muhimu. Leseni ya biashara ni ruhusa rasmi kutoka kwa mamlaka...
Nimehamia kibaha mji niupendao. Kwangu naona kuna fursa nyingi. Ningependa kupaendeleza zaidi. Nimejenga nyumba nzuri pale kibaha, Nina eneo kubwa ambalo nimejaribu kuliwekea fence. Ila bado Sina...
Ipi ni jibu sahihi, Bank zinatusaidia sisi (wateja) tunaoweka hela kwao, au sisi wateja ndio tunaowasaidia bank waendelee kuwa kwenye ajira na wao kuendelea kuwa na maisha mazuri?
Pia kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.