Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za Muda huu Wakuu! Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye...
22 Reactions
189 Replies
18K Views
Kampuni ya ITrust Finance imezindua rasmi Mfuko wa IDollar, mfuko wa pamoja wa soko la fedha unaotumia sarafu ya Dola ya Marekani (USD) Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam leo Julai 10...
0 Reactions
5 Replies
817 Views
Kuna wakati nilipost humu kuhusu W1219 na W3002 – mtambo wa kudhibiti joto kwa incubator unayoweza kutengeneza mwenyewe nyumbani ukiwa na temperature controller, taa na feni ndogo. Ilikuwa tu post...
4 Reactions
9 Replies
821 Views
Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeanza kufanya biashara mtandaoni (online business) tangu mwaka 2021 na hii ni njia bora ya kujiongezea kipato bila ya kuwa na mtaji mkubwa wa pesa. Nitakueleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza...
5 Reactions
6 Replies
6K Views
Hatimae mahakama za marekani zimeamuru apple kutolazimisha wateja wake kufanya malipo kwa lazima kutumia mifumo yao ya in app payments ambayo wanakata 30% kwa kila mwamala, hivo basi kwa tanzania...
1 Reactions
9 Replies
468 Views
Utendaji wa shirika la reli nchini hususani treni za kutoka na kuelekea mikoa ya Dodoma, Tabora na Kigoma limekua linakatisha tamaa kutokana na huduma zake za kubabaisha treni halina muda maalumu...
1 Reactions
3 Replies
271 Views
Kuna Triend nyingi sana huwa zinaelezea ufugaji wa Kware ulivyo kuwa utapeli na jinsi watu walivyo tapeliwa na kadhalika. Kwanza Ukweli ni kwamba Mayai yake ni lishe na tiba, shida ni tiba kwa...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Baada ya siku nyingi kupita leo nimemkumbuka rafiki yangu kipenzi ambaye alipatwa na matatizo makubwa katika safari yake yakusaka maisha miaka kama 5 iliyopita tukiwa kidato cha sita yaani kila...
57 Reactions
1K Replies
356K Views
Wakuu habarini za wakati huu... JF ni kisiwa cha maarifa. Naamini wamo wajuzi wa kuandaa 'maandiko ya biashara' au business proposal(s). Naomba maelekezo. Au mwenye 'template' ya andiko lolote...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwema wadau, Naomba mwenye kujua hii connection atupe huu uzoefu. Uhiaji wa maparachichi China ni mkubwa sana. Hata serikali yao qametoa KODI kwa uingizwaji wake. Mwenyekujua atujuze tafadhali
2 Reactions
1 Replies
235 Views
Hongereni na mapambano GT's Nahitaji Macadamia nuts kwa wingi sana Nimeambiwa yanalimwa sana Tanga na mkuranga kidogo Nahitaji mkulima sio dalali Whatsapp 0688301635
0 Reactions
15 Replies
474 Views
Wateja wanaingia dukani kwako kila siku, wanakuja dm whatsapp, wanauliza bei, lakini mwisho wa siku, hakuna mauzo yanayofanyika! Kama wewe ni mfanyabiashara wa duka la nguo na unakutana na hali...
0 Reactions
1 Replies
391 Views
Hello, niende moja kwa moja kwenye mada. Katika kutazama kwangu nimeona nazi za pakiti zinazouzwa hapa nchini mfano zile za Azam na GSM, zinatoka nje ya nchi na hao kina Azam wanafanya kazi ya...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Wachumi mnakaribishwa kwa michango......... Tutatumia shiling ya kenya KSH, Dollar na TSh ili kupata uelewa wa jambo ili Tujue kwanini shilling ya nchi fulani ina nguvu kuliko nyingine...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Nyakati zinabadilika, kuna baadhi ya watu muda kwao ni mchache sana wakati huohuo majukumu ni mengi. Nimeamua kuwaletea hii huduma ya SMILE DIGITAL STATIONERY ili kuwarahisishia wale ambao Hawana...
0 Reactions
4 Replies
448 Views
Nimepata eneo nzuri jirani na barabara ya Dodoma. ukarabati utachukua kariba m8. Kuna eneo ĺa baa, jiko, chips, store na kwa kukaa hadi 100 wanakaa. Kodi lak7 je nauliza waziefu itajilipa au...
0 Reactions
5 Replies
446 Views
Niliwekeza kwenye Samia Insfrastructure Bond na maelekezo ya uwekezaji ni kuwa kila mwekezaji atawekewa gawio lake kila baada ya miezi mitatu. Miezi mitatu tayari imefika na hata kupita...
5 Reactions
10 Replies
696 Views
Nawasalimu wote, Tunazalisha na kufuga samaki aina ya Sato na Kambale. Vifaranga wanapatikana kwa bei ya Tsh 250 tu.. Ukichukua zaidi ya 1000 bei inapungua.. Tunapatikana Pwani Kibaha ,ila tunao...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Mara nyingi wawekezaji huangalia bei ya hisa pekee — ndiyo maana bei inapopanda au kushuka hupata presha au wasiwasi. Lakini ukweli ni huu: Unaponunua hisa, hununui tu karatasi au namba — unakuwa...
2 Reactions
6 Replies
485 Views
Back
Top Bottom