Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

UNAHITAJI MSAADA MAJUMBANI? Mimi ni kijana msomi, mwenye uzoefu wa kazi za majumbani na huduma kwa watoto. Ninatoa huduma zifuatazo kwa malipo ya siku: ✅ Kufundisha watoto homework za shule ✅...
0 Reactions
3 Replies
304 Views
Habari zenu ndugu zanguu Naitwa Michael Godfrey Kutoka Transpark Solution Marketing agency. Taaluma yetu ni kusaidia biashara yako kupata wateja zaidi kupitia promesheni, branding, na digital...
3 Reactions
8 Replies
365 Views
Tutume nasi tunakuletea kwa haraka... Kazi ya uhakika, weka order ufurahie huduma zetu... Maisha yanakuwa rahisi unapokuwa na Trumark Stationery & Books Just call us 0765 76 76 96
0 Reactions
1 Replies
241 Views
Kama una chini ya Tsh 20,000, bado unaweza kuanza biashara halali na yenye faida. Hapa kuna mifano ya biashara kumi unazoweza kuanza leo, zikiwa na ushauri wa hatua kwa hatua. 1. Biashara ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi...
2 Reactions
3 Replies
313 Views
Habari wapendwa🖐️ Niko na mashuka mazuri ya kisasa nimewaletea THAILAND BED SHEET Size: 7/8 Material: Cotton Shuka: 2 Foronya: 4 Bei: 27,000 TZS SHUKA NYEUPE AMBAZO ZINA MISTARI Shuka...
1 Reactions
4 Replies
463 Views
Watu wengi hukosea kwa kuamini kuwa mtaji wa fedha ndio msingi wa kila biashara. Ukweli ni kwamba, biashara huanza na wazo bora, si pesa. Wazo sahihi lina uwezo wa kukuvutia wadau, kukuletea...
0 Reactions
1 Replies
505 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni kijana umri miaka 23 nimehitimu chuo mwaka huu .lakini kutokana na changamoto za ajira vijana wengi tumekuwa tukitafuta njia tofauti tofauti za...
97 Reactions
495 Replies
94K Views
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini...
2 Reactions
0 Replies
212 Views
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Hizi ni BIASHARA 15 zinazowafanikisha vijana wengi kwa sasa, hasa Afrika Mashariki (ikiwemo Tanzania), pamoja na sababu kuu zinazopelekea mafanikio yao: CHAGUA YAKO. . 1. Biashara ya Mitandao ya...
11 Reactions
39 Replies
7K Views
Ukitaka kuwa na pesa za chap chap! Basi Anza hii biashara ya kuuza pafyumu za kupima. Mzigo unaagiza kiwandani Babati, Manyara pipa 60,000 TZS+usafiri 50,000/= kutoka Babati-Dar es Salaam, gharama...
21 Reactions
125 Replies
27K Views
Kama unahitaji social media manager (msimamizi wa mitandao ya kijamii) nitakuwa naweka posti za bidhaa zako, kujibu maswali ya wateja na kazi zingine. Bei kwa mwezi ni 150,000 Tsh Napatikana...
1 Reactions
5 Replies
354 Views
Nitangulize shukrani kwa yeyote atakaechangia mawazo yake. naomba kwa yule mwenye uzoefu na biashara ya kuendesha kampuni ya usafi anisaidie kunipa muongozo wa uendeshaji na changamoto zake. Ahsante
1 Reactions
5 Replies
638 Views
Wadau habari~ Naomba msaada wa kujua bei ya engine ya pikipiki aina ya boxer maana chassis bado ni mpya kabisa lakini engine imekufa kutokana na matumizi mabaya ya kijana aliyekuwa anaitumia. Kuna...
1 Reactions
15 Replies
19K Views
Wakuu nina 1,000,000 kati ya kuongeza salon ya pili na kufungua bucha la nyama ipi inaweza nilipa? asanteni
4 Reactions
13 Replies
877 Views
Wadau poleni na swaumu mulio katika mfungo wa mwezi wa Ramadhani. Napenda kujulishwa kwa mwenye uzoefu biashara ya dhahabu inalipa vipi kwa mtaji wa million 5, tahadhali za kuchukua dhidi ya...
3 Reactions
250 Replies
95K Views
Mada kuu: Kuelewa dhana ya uwekezaji na kwanini ni muhimu kwa maisha yetu ya kifedha. 1️⃣ 🧠 Uwekezaji ni nini? Uwekezaji ni kitendo cha kuweka fedha zako mahali fulani kwa matarajio ya kupata...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi kufanya biashara mtaani na sokoni au sehemu ya senta yenye vibanda vingi ipi ndio sehemu nzuri zaidi? ?!!
3 Reactions
14 Replies
520 Views
Wakuu nimefukuzwa kazi Niko na mtaji wa Laki nne na nusu (450,000/-) naombeni ushauri nifaye nini na hiyo hela
16 Reactions
216 Replies
10K Views
Back
Top Bottom