youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,698
- 3,741
Unataka biashara yako itambulike kisheria, iaminike na ufanye biashara yako bila wasiwasi? Basi LESENI YA BIASHARA ni kitu cha lazima kwa mafanikio yako!
Na kwa sasa TUNAKUPA OFA YA KUPATA LESENI KWA HARAKA NA GHARAMA NDOGO SANA
Tunasimamia mchakato mzima hadi upate cheti halali!
Tunahakikisha haufanyi makosa yanayokugharimu mara mbili!
Malipo ya serikali (Control Number) utatumiwa moja kwa moja unalipia mwenyewe kwa uwazi.
📍 Tupo Mwanza – Mkolani, lakini tunakuhudumia popote ulipo Tanzania!
📞 Piga/WhatsApp:
📲 +255 693 880 325
Na kwa sasa TUNAKUPA OFA YA KUPATA LESENI KWA HARAKA NA GHARAMA NDOGO SANA
Kwa nini Leseni ya Biashara ni Muhimu?
1. Unatambulika kisheria
Hakuna tena hofu ya kufungiwa au kuandamwa na mamlaka.2. Unaepuka usumbufu wa kufungiwa biashara
Kaa mbali na adhabu zisizo za lazima.3. Unafunguliwa milango ya zabuni, tender & fursa za kiserikali
Hakikisha biashara yako ina sifa ya kushiriki.4. Ni nyaraka muhimu unapotafuta mkopo
Benki na taasisi za fedha huamini biashara iliyo na leseni.5. Inahitajika kufungua akaunti ya biashara benki
Hakikisha fedha zako ziko salama na zimetenganishwa na matumizi binafsi.6. Wateja wanakuamini zaidi
Leseni ni alama ya uhalali, uaminifu, na ubora.Tunasimamia mchakato mzima hadi upate cheti halali!
Tunahakikisha haufanyi makosa yanayokugharimu mara mbili!
Malipo ya serikali (Control Number) utatumiwa moja kwa moja unalipia mwenyewe kwa uwazi.
Unahitaji nini?
– Kitambulisho cha NIDA tu!📍 Tupo Mwanza – Mkolani, lakini tunakuhudumia popote ulipo Tanzania!
📞 Piga/WhatsApp:
📲 +255 693 880 325