Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wapendwa kwa mdau yeyote anaye laza wageni ndani ya ngorongoro na kutakiwa kulipa camping fees atakubaliana na mimi kuwa ni kero isiyovumilika 1. Wageni hawaruhusiwi kuingia ndani ya hifadhi kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza oven ya kuokea Mikate ina deck tatu na inaoka Mikate 60 Kwa mara moja. Imetumika kidogo sana kama inavyoonekana kwenye picha na inatumia umeme ipo kijitonyama. Bei ni TShs 2,500,000/= Kwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wakuu, nahitaji kampuni unayo-deal na hayo mambo ili nikamilishe mradi wangu. wazoefu naombeni msaada. asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninatambua kwamba tigo ni kampuni inayojiendesha kibiashara kwa lengo la kupata faida kihalali. Ninatambua kwamba mimi ni mtanzania ninauhuru wa kuchagua niwe mteja wa kampuni gani ya mawasiliano...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu bwana yupo kitumbini anakwenda kwa jina MOUSA SUNDRIES P.O BOx 8254 DSM. Plot no. 1306/ 148, kitumbini street. Ukinunua kitu mfano cha Tsh 2,35000 risiti inaandikwa Tsh 135,000. Hii...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Kampuni ya Edmark kutoka Malaysia yenyemakao makuu Masaki pangani street.tunauza virutubisho vya kupunguza unene,tumbo na kitambi.vimethibitishwa na TFDA kua havina madhara. Mawasiliano 0683109166...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
We have made your life even easier download The Darproperty App on your device now and have access to real estate latest news and insights and the all the properties available in the market...
1 Reactions
0 Replies
718 Views
Wanabodi Salaam. Kama nilivyoandika hapo juu shilingi sasa inaimarika kila kukicha tena kwa kasi ya ajabu . Wanauchumi dadavueni vyema kama kuna uhusiano wowote na Magufuli.
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Nazipenda shape yake lakini sijui uimara wake,ulaji wa mafuta na urahisi wa spea kupatikana Msaada wenye kujua hili wakuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji kuingia ktk masoko haya ya mitaji na kuwekeza kwa nunua hisa naomba ushauri tafadhari...kwa anaye fahamu au anaye fanya biashara hyo....
0 Reactions
8 Replies
2K Views
GOLD (XAUUSD) Long-term bias: Bearish In 2015, Gold topped at 1307.35 and later reached a low of 1046.21. Gold was engaged in perpetual and persistent downtrend, trapping bulls with short-term...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
About Plot /Kiwanja kipo Goba Wilaya ya Kinondoni 1,969 ft2/600 m2/0 acres: Square Feet/Meters: 1,969 ft2/600 m2/0 acres PLOT FOR SALE/KIWANJA KINAUZWAA KIPO GOBA WILAYA YA KINONDONI DAR ES...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
guys, nikiagiza food processing machine ya million 13 kutoka china, yenye uzito wa kg 250, nitalipia kodi zipi, zenye thamani ya shilingi ngapi ili itoke bandalini? Pia shipping cost ya machine...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua nikiwa na 18 milion naweza kuagiza Toyota Hiace kutoka Japan, nikalipia kila aina ya ushuru, usafirishaji na makorokoro yote, yaani mimi nikabaki kuweka mafuta na kuendesha tu?
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Najitahidi kujiuliza cement tunaizalisha hapa hapa nchini bado haishuki ndo inazidi kupanda TUSAIDINE KATIKA HILI
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Ukiona amazon.com basi umemwona Jeff. Huyu ni mmoja wa matajiri wa Amerika. Alianzisha mtandao wa mauzo na manunuzi wa amazon.com, ukakua na sasa ni moja ya masoko (online market place) makubwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS – Part 20 “Books are great mentors, but where else can you learn? By standing on the shoulders of giants. When it comes to making money, here is the...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Katika biashara zainazoogopwa Tanzania ni Biashara ya ufugaji wa kuku, wengi huogopa magonjwa na mtaji mkubwa na pia kutokuleta mazao tarajiwa. Hiyo ilikuwa ni zamani siku hizi madawa na...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ni zaidi ya miaka 10 tangu nimeanza kumfahamu huyu mzee, amekuwa akitoa millions to billions of shs kuisaidia jamii na hajafulia, hivi hela anayotoa kama misaada ni hela yake ya mfukoni au ni kodi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana jf, nauza viwanja. sifa zake 1. vimepimwa na vina hati miliki ya serikali kuu. 2.via ukubwa kuanzia sq. 900 hadi 1300 3.vipo msongola manispaa ya ilala hapa Dar es salaam 4.mawasiliano 0769...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom