Ushauri: BIashara ya kuwekeza katika masoko ya mitaji

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Nahitaji kuingia ktk masoko haya ya mitaji na kuwekeza kwa nunua hisa naomba ushauri tafadhari...kwa anaye fahamu au anaye fanya biashara hyo....
 
nitafute kwenye namba hii tukae tuongea nina fursa ya kuwekeza kwenye masoko ya mtaji for residual income 0717190409
 
Nitafute pm nikupe ushauri wa bure achana na tapeli huyo ashaanza kumendea pesa zako
 
UTT NDO MPANGO MZIMA HAO WENGINE NI MAKANJANJA TU. NENDA POSTA WATAKUPA MAELEZO YOTE ACHA KUULIZIA MTAANI.
 
Daaah..nilinunua hisa za Maendeleo Bank three years ago mpaka leo bei bado ni 600/-.. yahitaji moyo
 
nitafute kwenye namba hii tukae tuongea nina fursa ya kuwekeza kwenye masoko ya mtaji for residual income 0717190409
Kwan kuelekeza mpaka pm?!!! Kauliza hapa jibu hapa ili siku nyingine iwe rahis kwa wengine!!! Au na wewe ndio wale waleeee.............
 
Back
Top Bottom