Kwa 18m naweza agiza Hiace?

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
Naomba kujua nikiwa na 18 milion naweza kuagiza Toyota Hiace kutoka Japan, nikalipia kila aina ya ushuru, usafirishaji na makorokoro yote, yaani mimi nikabaki kuweka mafuta na kuendesha tu?
 
Unaweza pata ndiyola kini inakuwa haina ubora kama ya kuagiza maana Wao hiyo watakuwa wameinunua kwa 15M
 
Naomba kujua nikiwa na 18 milion naweza kuagiza Toyota Hiace kutoka Japan, nikalipia kila aina ya ushuru, usafirishaji na makorokoro yote, yaani mimi nikabaki kuweka mafuta na kuendesha tu?

Hiace bei yake dola 6,000 kununua tu hio , rafiki yangu mmoja ana fanya biashara ya magari amenishauri ninunue dubai rahisi
 
ImageUploadedByJamiiForums1450800336.201123.jpg
hizi bei vipi?
 
Naomba kujua nikiwa na 18 milion naweza kuagiza Toyota Hiace kutoka Japan, nikalipia kila aina ya ushuru, usafirishaji na makorokoro yote, yaani mimi nikabaki kuweka mafuta na kuendesha tu?
Je, unahitaji Hiace Commuter au Van? Kama unahitaji kwa biashara ya abiria basi chukua commuter ambayo ina hesabika kama utility vehicle na haitozwi import duty (25% of cif). Kwa million 18 unapata, lakini ukiongeza zikafika angalau 21 ni rahisi zaidi kupata. Karibu kwwnye kampuni yetu ya uwakala wa kuagiza magari na bidhaa zingine, tunaweza kukuagizia hasa ukizingatia huwa tunapewa ofa kidogo sababu huwa tunanunua mara kwa mara. Tupo Quality plaza Nyerere road Dar es salaam. Tembelea www.kalumbilo.online au piga simu 0684 454 441
 
Safi sana kwa kujua jinsi ya kuitumia fursa.
 
Kuna tofauti gani kati ya commuter na van?
 
VAN ki msingi imetengezwa kwa kubebea mizigo, unakuta ina siti 6 tu, yani mbele siti 2 na benchi la siti 4 halafu kunakuwa na uwazi wa kupakia mizigo. Wengi huzinunua halfu wanakuja kuzichongea viti.
COMMUTER ni special kwa abiria, unakuta ina siti 10 tayari. Karibu www.kalumbilo.online au piga simu 0684 454 441
 
Shukran mkuu kwa maelezo mazuri
 
Mkuu kama upo serious njoo na hiyo hela nikupe nissan caravan namba D.gari imesimama kama vipi ni PM tuongee vizuri zaidi.
 
Kwa ufupi kama unataka ya kuagiza weka kuanzi 23m kwa kima cha chini.
Maana unaweza kuambiwa 20m ila ikifika port ukaja kupewa mikodi mingine ya ajabu,ukienda na usajili na full bima inakimbilia kwenye 25m ili uwe Salama.

Ma Agent wengi wao huangalia pesa ya kufikisha bandarini,then baada ya hapo waanze kukusingua uongeze pesa
 
Back
Top Bottom