Gharama/kodi ya kutoa food processing machine Bandarini

Olabonye

New Member
Jul 23, 2015
2
1
guys, nikiagiza food processing machine ya million 13 kutoka china, yenye uzito wa kg 250, nitalipia kodi zipi, zenye thamani ya shilingi ngapi ili itoke bandalini?
Pia shipping cost ya machine hii kotoka China to Tanzania inaweza kua shilingi ngapi?
 
shipping kwa meli wanachaji kwa cbm ( ujazo) na sio kwa uzito.. but kwa haraka garaka mashine yako inaweza ikawa cbm 5.. mfano so ni shipping ni kama usd 1000 cif to dar... na kwa haraka haraka kodi hapo ni nusu ya hela uliyonunulia..
 
Back
Top Bottom