FUGA KUKU MIAKA 10 UWE MILIONEA

ANKOJEI

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
996
743
Katika biashara zainazoogopwa Tanzania ni Biashara ya ufugaji wa kuku, wengi huogopa magonjwa na mtaji mkubwa na pia kutokuleta mazao tarajiwa.

Hiyo ilikuwa ni zamani siku hizi madawa na wataalamu wa magonjwa wapo kila mahali, elimu pia ipo mtandaoni ya kuhusu ufugaji wa kuku na pia mazao mengine yatokanayo na ufugaji wa kuku kama firigisi.

Ningependa tufumbuane macho katika fursa (mnyororo) zitakazo fumuka muda si mrefu iwapo uchumi wetu utakua kwa kasi ya 15% kwa mwaka.

Jizamishe hapa http://pricewatchafrique.blogspot.com/2015/12/mnyororo-wa-biashara-ya-ufugaji-na.html
 
sidhani kama inaogopwa hata kidogo, nadhani inafanywa sana kwa hivi sasa lakini wanaofanya hawana vision. Ilimradi wanaingiza pesa ya kulipia tu watoto ada wanaona kuwa inatosha, hawafikiri labda kuja kuwa na kiwanda cha kuprocess kuku... nk
 
hapo pa kuogopwa hapana manake siku hizi kina mama pesa za mikoba wanazipigia hesabu za kufugia kuku,
pia kwenye mtaji nako siyo mkubwa kutokana na kuwa na aina tofauti tofauti za ufugaji
 
Back
Top Bottom