KIWANJA KNIAUZWA

HeisenbergJr

Member
Aug 17, 2015
38
13
About Plot /Kiwanja kipo Goba Wilaya ya Kinondoni 1,969 ft2/600 m2/0 acres:
Square Feet/Meters:
1,969 ft2/600 m2/0 acres

PLOT FOR SALE/KIWANJA KINAUZWAA
KIPO GOBA WILAYA YA KINONDONI DAR ES SALAAM
KIPO KARIBU KABISA NA BARABARA KUU INAYOUNGANISHA MBEZI YA KMARA NA MBEZI BEACH
KINA UKUBWA WA SQUARE METRES 600
BEI NI MILLION 25 TSHS (NEGOTIABLE/MAKUBALIANO YAPO)
CONTACT 0712552483
 
Kina title deed au offer?
kiko umbali gani toka barabara ya mbezi kimara/mbezi beach?
ni eneo la makazi?
 
Ukutane na Lukuvi anasema umejenga kwenye hifadhi ya barabara afu kiwanja chenyewe umenunua kwa bei ya Kibada wakati ardhi ya Goba imejaaa mabonde kujenga uwe na uwezo sana
 
Ukutane na Lukuvi anasema umejenga kwenye hifadhi ya barabara afu kiwanja chenyewe umenunua kwa bei ya Kibada wakati ardhi ya Goba imejaaa mabonde kujenga uwe na uwezo sana
Umenena point mkuu na hii dsm new plan inayokuja lazima watu walie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom