Mwenye TIN No 113560746 atembelewe na TRA anakwepa kodi

Changamoto2015

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
773
314
Huyu bwana yupo kitumbini anakwenda kwa jina MOUSA SUNDRIES P.O BOx 8254 DSM. Plot no. 1306/ 148, kitumbini street.

Ukinunua kitu mfano cha Tsh 2,35000 risiti inaandikwa Tsh 135,000. Hii imetokea baada ya kununua maziwa ya watoto kwake aina ya S26 namba 1. Risiti aliyotoa ni namba 0002/000000966. Tarehe ya manunuzi ni 22.10.2015

Namba ya simu iliyoko kwenye risiti ni 0655255297.

Wana Jf tujitahidi kuwaweka wazi watu kama hawa wanaoibania serikali mapato alafu hao hao ndio wa kwanza kulalamikia serikali imeshindwa ku-perform. Serikali itawezaje ku-deliver kwa uhuni kama huu wa kuibania mapato?
 
Umejiridhisha kuwa si random error? Maana umetoa mfano mmoja tu ambapo yanaweza kuwa makosa ya kawaida ya kibinadamu. Wewe hiyo risiti uliiangalia pale pale au uliweka tu mfukoni ukaondoka? Nilitegemea utoe mifano ya manunuzi kadhaa ambapo risiti zote zimechakachuliwa, au angalau utoe hint kuwa kuna rafiki zako wawili watatu wamekumbana na hali hiyo kwa huyo mfanyabiashara. Nafahamu watu wanafanya mchezo huo, lakini ulichoeleza hapa bado hakijitoshelezi. (right to be wrong vs right to do wrong)
 
Nenda mahakamani jamaa atapigwa faini

Sina muda wa kupoteza muda wangu mahakamani, naamini kitengo cha investigation TRA watafanya kazi yao na kumpa onyo huyu mlipa kodi aache mchezo wa kipuuzi! Wafanyabishara waliozoea vya kunyonga kwa serikali hii hawana nafasi watakimbia wote na kuacha wafanyabiashara wakweli ambao ni professionals, innovative na creative kwenye soko. Hawa makanjanja waliozoea ujanja ujanja wataondoka wenyewe maadam jipu limepata mkamuaji.
 
Weka hyo risiti vizuri kwa ushahidi maana huwa zinafutika
 
Kwanini hukudai risiti halali inawezekqna alipitiwa kwani naye ni binadam pia.
 
Umejiridhisha kuwa si random error? Maana umetoa mfano mmoja tu ambapo yanaweza kuwa makosa ya kawaida ya kibinadamu. Wewe hiyo risiti uliiangalia pale pale au uliweka tu mfukoni ukaondoka? Nilitegemea utoe mifano ya manunuzi kadhaa ambapo risiti zote zimechakachuliwa, au angalau utoe hint kuwa kuna rafiki zako wawili watatu wamekumbana na hali hiyo kwa huyo mfanyabiashara. Nafahamu watu wanafanya mchezo huo, lakini ulichoeleza hapa bado hakijitoshelezi. (right to be wrong vs right to do wrong)

Mkuu wenye kuweza kupata details kama ni tukio moja au ndio mchezo wake endelevu ni investigators wa TRA na sio mimi mnunuzi. Pili, akiona bandiko hili na kama ndio mchezo wake naamini atapata hofu na kuacha mara moja kabla balaa halijamshukia. Tatu, siwezi tena kwenda kununua kitu kwenye duka ambalo unajua kabisa unamfaidisha mmiliki badala ya kodi kwenda serikalini ikafanye huduma za kijamii - kwa hivyo keshanipoteza kama mteja.
 
Sina muda wa kupoteza muda wangu mahakamani, naamini kitengo cha investigation TRA watafanya kazi yao na kumpa onyo huyu mlipa kodi aache mchezo wa kipuuzi! Wafanyabishara waliozoea vya kunyonga kwa serikali hii hawana nafasi watakimbia wote na kuacha wafanyabiashara wakweli ambao ni professionals, innovative na creative kwenye soko. Hawa makanjanja waliozoea ujanja ujanja wataondoka wenyewe maadam jipu limepata mkamuaji.

Mkuu changamoto, hayo mambo mengine uliyoyaeleza yatakuwa analysed na TRA wenyewe, he's just a patriot whistleblower. Tumsupport na tumpongeze mwenzetu kwa uzalendo aliouonesha.
 
Last edited by a moderator:
duh watu wana roho mbaya!!yaani we kununua kitu kimoja ukapewa risiti tena moja tayari akili yako imekutuma kumshutumu hujui error maana yake nn?au umefanyiwa mara ngapi
 
Mwingine ni super market iliyopo tegeta kibaoni upande wa kulia kama unaelekea wazo hill, huyu jamaa anakupa risiti ya EFD lakini kitu cha ajabu pale kwenye VAT unakuta pameandikwa 0Tsh Kama zile risiti za sheli ya mafuta. Nilishawahi kwenda kumripoti katika ofisi za TRA pale kibo complex lakini naona mchezo wake huo bado unaendelea. Nadhani anatumia mashine ya petro station ili kukwepa kodi ya VAT
 
Ndugu nasmapesa, ili nchi hii iendelee, from now on we must have ZERO TOLERANCE kwenye issues za Rushwa (Grand & Petty Corruption) na Ukwepaji Kodi (Tax evasion). Mambo ya kuoneana huruma au kuleta ushikaji hayana nafasi tena katika nchi yetu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wenye kuweza kupata details kama ni tukio moja au ndio mchezo wake endelevu ni investigators wa TRA na sio mimi mnunuzi. Pili, akiona bandiko hili na kama ndio mchezo wake naamini atapata hofu na kuacha mara moja kabla balaa halijamshukia. Tatu, siwezi tena kwenda kununua kitu kwenye duka ambalo unajua kabisa unamfaidisha mmiliki badala ya kodi kwenda serikalini ikafanye huduma za kijamii - kwa hivyo keshanipoteza kama mteja.

Ni sawa, ila kama mzalendo unaweza kukubali kufanya kile ambacho dhamiri yako inakataa, ukarudi tena ili 'kupeleleza' kama ni mchezo wake wa kila siku. ila naamini yeyeote aliyeko maeneo hayo anaweza kufanya hivyo, si lazima wewe urudi huko...and better still nina hakika wahusika wameipata taarifa hii na kama wanaamini taarifa za mtandaoni zinaweza kuwa na impact (kama wanavyochukulia kwenye negative aspects) basi watalifanyia kazi kujiridhisha kama mkono uliteleza kwenye risiti yako au kama ndiyo kawaida yake...
 
Mwingine ni super market iliyopo tegeta kibaoni upande wa kulia kama unaelekea wazo hill, huyu jamaa anakupa risiti ya EFD lakini kitu cha ajabu pale kwenye VAT unakuta pameandikwa 0Tsh Kama zile risiti za sheli ya mafuta. Nilishawahi kwenda kumripoti katika ofisi za TRA pale kibo complex lakini naona mchezo wake huo bado unaendelea. Nadhani anatumia mashine ya petro station ili kukwepa kodi ya VAT

Mkuu hawa watu ni kuwaweka wazi tu! Sisi malayman huku mtaani hatujui mambo ya random errors
 
Mwingine ni super market iliyopo tegeta kibaoni upande wa kulia kama unaelekea wazo hill, huyu jamaa anakupa risiti ya EFD lakini kitu cha ajabu pale kwenye VAT unakuta pameandikwa 0Tsh Kama zile risiti za sheli ya mafuta. Nilishawahi kwenda kumripoti katika ofisi za TRA pale kibo complex lakini naona mchezo wake huo bado unaendelea. Nadhani anatumia mashine ya petro station ili kukwepa kodi ya VAT
Hili ipu kweli kweli. Nilikuwa nataka kujiuliza supermarket wanawezaje kufanya hivyo, kumbe zipo mbinu nyingi! Aisee! Kama ulimripoti enzi za zama zile, usitegemee kama kuna ambalo lingeweza kutokea,sana sana uliwatengenezea dili hao jamaa wa TRA maana uliwapa tool kwa ajili ya kum-blackmail na wala si vinginevyo. Nina hakika sasa hali inaweza kuwa tofauti, angala kwa kipindi hiki so far.
 
Mkuu hawa watu ni kuwaweka wazi tu! Wezi wengine wapo humu humu JF wanateteana sijui random errors sijui kitu gani. Kama ni random errors watamalizana na investigators wa TRA.

Bora nawe umeona mkuu. Kuna watu ni wabinafsi sana. Yaani mtu anajitoa ufahamu kutetea upuuzi kama huu. Inasikitisha kwa kweli. And I suggest hao wakwepaji wakikamatwa wapigwe faini ya kueleweka ili wawe mifano kwa majizi mengine.
 
Je wewe wakati unanunua baada ya kupewa risiti uliikagua uangalie kama malipo yaliyoandikwa ni yale uliyolipa? Inavyoonekana ulitia tu risiti mfukoni bila kuikagua, kw hiyo pengine haikuwa makusudi maybe ilikuwa error wakati wakutype, maana kama ungeikakugua ungekuwa na uwezo wa kuhoji pale pale na kama ni kosa likarekebishwa, na je hiyo ni mara ya ngapi kununua bidhaa katika hilo duka ukakuta kuwa risiti ina walakini...so pia wewe binafsi kuwa makini pale unaponunua bidhaa hakikisha unakagua risiti kabla ya kuitia mfukoni! Ila ujumbe wako umefika...
 
Ukinunua dai risiti na ukiuza toa risiti... Je kula kwa akina dada naniliu huwa wanatoa risit?
 
Back
Top Bottom