Ni gari nzuri, comfortable, spea zake ziko available, ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida hauko juu wala si wa chini, stability yake ni kubwa sana ikiwa kwenye mwendokasi tatizo ni gharama za service ziko juu, spea zake ni ghali sana, tatizo lingine Nissan Xtrail zinawasumbua sana mafundi wa mitaani maana system ya injini yake iko too much electronically ile kwa gereji yenye vifaa vya kisasa huwezi pata shida.Nazipenda shape yake lakini sijui uimara wake,ulaji wa mafuta na urahisi wa spea kupatikana
Msaada wenye kujua hili wakuu