Katika maisha yeyote Yale dunia lazima ujitoe sadaka ili uweze kufanikiwa katika maisha wapo waliopoteza pesa,nyumba,watoto,,mke,magari,,viungo vya mwili na uhai yote kwa ajili ya pesa.hakika ni...
Habari wapendwa, ni ukweli, ni uhakika na ni muhimu. mimi mwenyewe nimefaidika na nataka na wewe ufaidike kama mimi. ebu bonyeza hapa na utaona faida yake
we ingia utakuja kunambia...
Wakuu habari
Kwanza poleeni kwa mahangaiko ya juma lililopita na MUNGU awapatie nguvu kwenye juma hili jipya.
Naomba kujua bei ya viazi vitamu kwa gunia, bei ya kununulia kwa dsm na pia bei ya...
Habari zenu wakuu.
Nlikuwa nataka kujua utaratibu wa kufanya biashara mitandaoni kama vile online shopping ama any business ambayo itaconduct transactions online. Nlikuwa nafikiria kufanya...
Leo ndiyo mwanzo wa utekelezaji wa Sheria Fedha (Finance Act, 2016) iliyopitishwa katika Bajeti ya 2016/17 ambapo Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) itatozwa katika huduma za mitandao ya simu...
Nimepata vyumba vikubwa 15 katika maeneo tofauti dar es salaam mjini kati na mwanza pia, na sikupenda kufanya biashara nyingine mfano kua na restaurant au storage, clothing etc.. kila mtu anafanya...
Wakuu salaam
Naomba kufahamu kama vifaa vya ujenzi vumeongezewa kodi kwenye hii bajeti iliyosomwa Leo, mimi sikupata nafasi ya kusikiliza kutokana pilikapilika za kimajukumu
Ahsanteni
There is exciting potential to transform the forestry sector – promoting its sustainable growth, ensuring large and small-scale growers can exploit compelling opportunities in commercial timber...
Natumai hamjambo waungwana,mimi ni mwajiriwa serikalini,sijathibitishwa kazini bado,hoja yangu ni kutaka kuchukua mkopo kupitia bayport kiasi cha sh miliion tano na nusu,na nataka kuurejesha ndani...
Wakuu rejea kichwa cha habari hapo juu...
Natafuta mshirika wa kibiashara... Ni ufugaji wa kuku, nguruwe na kilimo cha green house..
Mimi natoa eneo lililopo Tegeta. Mshirika aje na investmemt...
Tanzania is well known natural gas hotspot. With government estimates over 57 trillion cubic feet of natural gas deposits. International individual and companies are moving in to tap business...
Kwanza napenda ijulikane kabla serikali haijaingiza vat kwenye utalii tayari mgeni/mtalii analipa vat kwa kuzunguka (indirect); kila mtalii anayekuja Tanzania analipa vat, analipaje? akilala...
Wana uchumi wenye uzoefu naomba ushauri nina deni Bayport wa sh milioni 9.9 lililotokana na mkopo wa sh, milioni 5.2 kiukweli riba zao ni kali,,,, nimekopa kwa miezi 36,,,,,,, bado miezi 3 niwe...
Hundreds queue outside foreign exchange shops to 'panic buy' euros and dollars over fears that vote for Brexit could hit sterling
Experts warn value of pound could plummet if Britain votes for...
‘DSE has adequate liquidity to host telecoms’
The DSE Chief Executive Officer, Moremi Marwa.
The DSE Chief Executive Officer, Moremi Marwa.
BUSINESS
SHARE THIS
AddThis Sharing Buttons
0...
Naombeni mawazo yenu niko iyunga Mbeya,nina kamtaji ka sh.350000/=.Naombeni wazo la biashara ya kufanya ila lengo nililonalo ni kwa kila laki moja angalau nipate faida ya sh.3000/= kwa siku...
(Unaweza isoma makala hii na nyingine nyingi za uwekezaji na ujasiriamali kwenye tovuti ifuatayo: Uwekezaji na Ujasiriamali )
ANGALIA UNAPENDA NINI KISHA KIGEUZE KUWA BIDHAA AU HUDUMA.
Kuna...
Brexit crash wiped out a record $2.1 trillion. Now what?
by Matt Egan @mattmegan5 June 27, 2016: 5:00 PM ET
Replay
Uncertainty looms over post-Brexit world
A record $2.1 trillion was wiped out...
Rais wa nchi za umoja wa Ulaya wanaotumia sarafu ya Euro, Jeroen Dijsselbloem, amesema sasa taasisi za kifedha za Uingereza zitakuwa na mahusiano machache tu na zile za kifedha za muungano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.