MAPOUDA
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 446
- 295
Katika maisha yeyote Yale dunia lazima ujitoe sadaka ili uweze kufanikiwa katika maisha wapo waliopoteza pesa,nyumba,watoto,,mke,magari,,viungo vya mwili na uhai yote kwa ajili ya pesa.hakika ni fundisho kwamba maisha bila kupambana huwezi itwa mfalme kati ya wafalme naamin katika usemi usemao KILA ULIMI UNA JAMBO NA KILA MKONO UTATENDA.Tambua kwamba mungu amekupa pua,,mdomo,masikio,,macho,,ngozi kakupata mikono na miguu pia lakin kuna wengne kawanyima yote anajua yeye mana kazi yake haina makosa lakin jiulize vipi yule alie hana viungo anafanya vile ambavyo wewe unafanya au kukuzidi wewe kipato juwa amekuzidi MAARIFA na rafiki yake FIKRA na jirani yake MKAKATI mana wahenga walisema UKISHIBA MAARIFA UTACHEUA MIKAKATI hapa shaka umepata picha nazungumzia nin kila jambo lazima uwe na vitu hv MAARIFA,,FIKRA YAKINIFU,,MKAKATI,UVUMILIVU,UTHUBUTU,,NA BUSARA, hapo utafanikiwa sana NAMKUBALI SANA ERIC SHIGONGO mana dream yake maisha yake yametokana na vile nivisemavyo hapa WAAFRIKA weng tumeshazoea kufanyishwa kazi kwahyo kufanya kazi hatuwezi bila kusimamiwa hatuwezi ndio maana leo tupo kama tulivyo vijana wenzangu popote mlipo nyanyua vidole vitano juu ukiashiria wewe ni MPIGANAJI WA MAISHA ( lets us fight for poverty) hakika kila jambo utaliona jepesi leo kijana muwajiriwa ukipata tatizo kwenye akaunti hata mia hauna unasubiri mwisho wa mwezi ndio usolve WAKE UP popote ulipo KUMBUKA PESA HAISHUKI SAMANI HATA KAMA NI SENTI MOJA ktk mzunguko wa pesa ina maana ndio maana haiachwa katika mahesabu tambua kwamba mungu amekupa kila kitu kwanza mshukuru pia vifanyie kazi MANA KUZALIWA MASKINI SI KOSA BALI KUFA MASKINI NDIO KOSA
Tafakari chukua hatua
Wewe ni kijana. Mwenzangu bara moja,taifa moja wacha tujenge taifa letu tulivu
Tafakari chukua hatua
Wewe ni kijana. Mwenzangu bara moja,taifa moja wacha tujenge taifa letu tulivu