ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Naombeni mawazo yenu niko iyunga Mbeya,nina kamtaji ka sh.350000/=.Naombeni wazo la biashara ya kufanya ila lengo nililonalo ni kwa kila laki moja angalau nipate faida ya sh.3000/= kwa siku!
NAOMBENI MAWAZO YENU WAKUU
NAOMBENI MAWAZO YENU WAKUU