Natafuta Bussiness Patner

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Wakuu rejea kichwa cha habari hapo juu...

Natafuta mshirika wa kibiashara... Ni ufugaji wa kuku, nguruwe na kilimo cha green house..

Mimi natoa eneo lililopo Tegeta. Mshirika aje na investmemt capital..
 
4M~5 Mkuu.... Njoo tufanye bussness
Weka mchanganuo hapa, tatizo siyo pesa, tatizo vijana mnashindwa kuandika clear proposal mtu akasoma na kuelewa na akaona na profit iko wapi.

Kumbuka hakuna mtu mwenye pesa za kutupa bila kuzalisha faida.
 
Weka mchanganuo hapa, tatizo siyo pesa, tatizo vijana mnashindwa kusndika clear proposal mtu akasoma na kuelewa na akaona na profit iko wapi.

Kumbuka hakuna mtu mwenye pesa za kutupa bila kuzalisha faida.

Mchanganuo naandika kwa faida ya forum au Mimi natafuta mshirika tukae pamoja kuangalia validity of mentioned projects kati ya hizo tatu basing on eneo na capital...

Mkuu acha siasa katika hili.

But kama uko interested nikuletee mchanganuo inbox. Sioni faida ya kuiweka hapa wakati ni jambo la watu 2 au 3 (washirika)
 
Back
Top Bottom