Biashara za mitandaoni

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,181
6,234
Habari zenu wakuu.

Nlikuwa nataka kujua utaratibu wa kufanya biashara mitandaoni kama vile online shopping ama any business ambayo itaconduct transactions online. Nlikuwa nafikiria kufanya business kama vile tigo pesa, mpesa, ezypesa, kuconduct izo business online.... kuna any regulation za BOT ama vipi?

Asanteni
 
Back
Top Bottom