Asante ndugu yanguHavijaongezewa wala kupunguziwa lkn hawajaizungumzia kabisa kiufupi sjawaelewa
Tujikaze tu wakuu, kama nia ipo tutapigana mpaka tone la mwisho tujenge!!! Kupanga ni shida sana asieeeAsante ndugu yangu
Vifaa vya ujenzi ambavyo baadhi yetu tulikua tukinunua jeshini wameondoa lile punguzo nadhani la kodi na wanajeshi watapewa posho maalum. Hili kwangu ni pigo sababu nilitaka nkaongeze bati na ninunue misumari. Kweli kama hukujenga kipindi cha kikwete kwa magufuli hutaweka hata msingi.
Wamevitaja kwa code namba me sijaelewa kabisaaa
Usiwe na hofu, huu ndo muda wa kujenga maghorofa kabisa, we tulia uone baada ya mwakaVifaa vya ujenzi ambavyo baadhi yetu tulikua tukinunua jeshini wameondoa lile punguzo nadhani la kodi na wanajeshi watapewa posho maalum. Hili kwangu ni pigo sababu nilitaka nkaongeze bati na ninunue misumari. Kweli kama hukujenga kipindi cha kikwete kwa magufuli hutaweka hata msingi.