Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu habari zenu, Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya...
2 Reactions
127 Replies
13K Views
Wakuu naombeni mniambie niende hospital gani ambayo nikifika tu nikiwaambia nimekuja kufanya check up watanipima magonjwa mbalimbali kuanzia kisukari, hepatitis, matatizo ya Figo, matatizo ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it. Hivyo...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu...
2 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa. Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na...
14 Reactions
100 Replies
3K Views
1. Tunaendelea kudodosa yaliyomo kwenye kitachu Eating to Conceive by Lisa Olson. 2. Kazi yangu ni kufanya tafiti na kuwasilisha majibu kwa lugha tunayoishi nayo kila siku. Lengo tuelewe...
2 Reactions
0 Replies
208 Views
Nimeishi na mke wangu kwa mwaka mmoja na nusu. Alipata ujauzito mara ya kwanza katika maisha yake, ule ujauzito ulidumu kwa miezi 3 kisha ukatoka. Akapata ujauzito kwa mara ya pili huu ulikaa...
9 Reactions
92 Replies
3K Views
Habari wandugu Mwaka jana mwezi wa 9 mke wangu alipata tatizo lakuharibika kwa mimba ya miezi mitatu, akapewa dawa na akawa anakandwa na maji ya moto nyumbani baadae akawa anaendelea vizuri...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Nina ujauzito wa wiki 24 Sasa ni triple baby, lakini tangu mimba Ina wiki 15 nilikuwa naumwa tumbo sana nakukaza kwenye kinena Hadi kiunoni. Vipimo nilifanya Tatizo hawakugundua,wiki 22 tumbo...
4 Reactions
22 Replies
413 Views
HII NI YA MWISHO SITOWAFUNDISHA KILA KITU! Baada ya kufanya mazoezi, kazi ama shughuli yeyote kunywa maji ya moto ni mazuri kiafya. Maji ya baridi yanapopita kooni yana regulate joto la damu...
4 Reactions
14 Replies
433 Views
Cancer, Dies When You Eat These 7 Foods, Time To Start Eating Them thepinkbrain.co.zaJul 31, 2023 5:50 PM Here is a list of 7 amazing foods which prevent the growth of cancer cells and the...
1 Reactions
3 Replies
979 Views
Habari zenu wana Jamii Forum… Natumaini sote tumesherehekea Eid vizuri wale Eid iliyokuwa mbaya kama mimi nawapa pole tupo pamoja Mimi ni member wa muda mrefu ila imebidi nije na ID mpya kutokana...
10 Reactions
43 Replies
1K Views
Mwanamke anapotibiwa kwa upasuaji wa Ectopic, na kupewa muda wa kusubili ili apate Mimba Nyingine., akipata Mimba Nyingine anajifungua kwa Njia gani? Je ni kwa upasuaji au anajifungua Kawaida...
3 Reactions
4 Replies
156 Views
Kwa siku 45 nilikua silii mchana, nakula tu asubuhi chai ya ragi na skonzi moja na yai moja, mchana napiga ndefu, usiku ndio nakula wanga kidogo na chai ndio nalala. Kila siku kabla ya kuoga...
25 Reactions
233 Replies
10K Views
Salaam , hakika kweli mfungo umekwisha, maongezi haya niliyashuhudia katika sehemu fulani ya starehe nikabakia kutahayari juu ya mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea katika meza jirani na nilipokuwa...
2 Reactions
34 Replies
701 Views
Naombeni ushauri na msaada kuna mtoto anakohoa sana nimetumia dawa zote hospitalini lakini bado. Wakati wa usiku ndo vinazidi mpaka anashindwa kulala halafu kinakuwa kikohozi kinamletea kama...
3 Reactions
45 Replies
1K Views
Nilikuwa napenda kujua tatizo la kuwashwa ndani ya uume pindi unapomaliza tendo la ndoa,unapojisaidia haja ndogo na hata ukiuminya linasababishwa na nini na tatizo linaitwaje?
0 Reactions
14 Replies
17K Views
1. Maji ya mvua Kuna watalaam wanasema sio salama kwakuwa yana chemicalza huko angani Kuna wengine wanasema ndo salama kwakuwa ni asilia, yamejichuja na yapo salama 2. Maji ya dukani Haya...
2 Reactions
56 Replies
1K Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya MO Dewji Foundation imeandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto 50 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Back
Top Bottom