Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 327
- 376
Habari wandugu
Mwaka jana mwezi wa 9 mke wangu alipata tatizo lakuharibika kwa mimba ya miezi mitatu, akapewa dawa na akawa anakandwa na maji ya moto nyumbani baadae akawa anaendelea vizuri
Baada ya hapo hatukutumia kinga yoyote ya ujauzito lakini hadi leo hajapata ujauzito
Mwezi wa 4 tulienda hospitali tukashauriwa kutumia Chromifeni kwaajili ya kuchochea uzalishaji wa mayai kwa siku 14 kuanzia siku ya kwanza anayoingia kwenye siku zake lakini hola
Juzi akawa analalamika maumivu chini ya kitovu na muwasho ukeni, tukaona twende hospitali na tukafanya kipimo cha Utra Sound dokta akasema ana P.I.D hapa tunaendelea na hizo dawa ambazo ni Doxy, Flagyl na Cypro
Je hio P.I.D inaweza ikawa ni sababu pia inayozuia kupata ujauzito,, maana tatizo lilitokea mwaka jana mwezi wa 9 lakin hadi leo hakuna mimba
Au tatizo linaweza kuwa nini hapa,, naomba ushauri wako tafadhari.
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app