Nina bima ya afya NHIF naombeni mnishauri kuhusu body check-up

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
13,662
2,000
Wakuu naombeni mniambie niende hospital gani ambayo nikifika tu nikiwaambia nimekuja kufanya check up watanipima magonjwa mbalimbali kuanzia kisukari, hepatitis,matatizo ya Figo,matatizo ya moyo,cancer na vidonda vya tumbo.hospital iwe ndani ya jiji la dar es salaam na vipimo vyote nifanye bila gharama kwani Nina bima ya afya NHIF.natanguliza shukrani
 

DRIVE

Senior Member
Aug 14, 2014
132
250
Njoo muhimbili ila hepatits B haipo kwenye bima utalipia 35 vipimo vingi kulingana na dr atakavyo order
 

carter

JF-Expert Member
Jan 23, 2009
3,666
2,000
Niliambiwa Body Checkup haipo kwenye Bima (NHIF)
Sio check up tu, hata dawa ni nadra sana kupata.Utaambiwa tu zimeisha katafute pharmacy. Hii bima haina nguvu kabisa... Labda kwa upande wa malaria tu kujaziwa makapu ya mseto na antibiotics za UTI. Ila kwenye serious cases... Lazima Shati iwe ya mikono mirefu.
 

Alvajumaa

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
4,010
2,000
Mimi niliwahi kufanya body check up kwa kutumia hiyo bima,
Kingine mkuu siku hizi ukienda hospt wanapima ukimwi bila ww muhusika kuhusishwa
Niliambiwa Body Checkup haipo kwenye Bima (NHIF)
 

Kaisari

JF-Expert Member
Nov 13, 2012
3,645
2,000
Bima ya afya pekee isiyo na usumbufu
IMG-20190721-WA0002.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom