Nimezunguka baadhi ya mikoa Tanzania kama vile Dar, Iringa, Mbeya, Morogoro, Lindi ,Kilimanjaro na Pwani lakini kuna Nkoa unaitwa Ntwara daaaaa😃😃
Watu wa mkoa wa Ntwara ni wazuri sana mdomoni...
Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema “ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bure”
Basi kabisa zima...
Bila kupepesa macho watu hao ni huyu jamaa anajiita Mume halali wa Ephen, mwingine ni huyu anajiita Mme Mwenza na watatu ni huyu secretarybird.
Tajiri Sina BAYA nataka niwakunyuge kisawasawa...
Habari.
Tukikupa YOUTONG ya siti 60.
Zitabaki siti ngapi tukiwaweka ,wanawake uliowahi kutembea nao.
Mimi zitabaki zile tano za nyuma.
Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
Darasa lolote (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao:
1. Mrembo wa darasa.
2. Playboy/playgirl - Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili.
3. Group ya marafiki watatu...
Najiuliza maswali mengi juu ya hawa bodaboda
Boda Boda anaweza kumchukua Baba wa familia akampeleka kwenye mchepuko alafu Boda Boda huyo huyo akamchukua Mama mwenye nyumba akampeleka kwa kiben...
Unakuta mwanamke hata akivaa khanga moja tako hata halitikisiki. Sijui inasababishwa na nini ila mimi sipendi tako unakuta limeganda tuu kama la mwanaume.
Pia hiki kimekua chanzo cha kuachana na...
Kumekua na mabishano mengi sana mitaani kuwa maisha bila ndoa ni mazuri zaidi ya maisha ya ndoa,kwamba ukiwa Bachela au Single lady unakua huru no stress unafanya mambo yako kwa amani sana...
Habari za ijumaa,
Nasikia mida hii mods wamelala, kama hawajalala sio mbaya pia nina swali kwao "kuwa na ID zaidi ya moja ni kosa kwa sheria za JF?" Baada ya swali hilo nawakumbusha mods tupo...
Basii status zao zingekuwa kama hivi
MENDE:- "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? "
PANYA:- "Jana nimekula sharti la boss linanuka kikwapa ile...
Picha ya pili ni Watanzania tunajifanya kuwa hatujamsikia Samia akidai kuwa amekopa concessional loan ya miaka 20 kwa ajili ya kujenga madarasa, wakati tulishaambiwa kuwa Tozo ni kwa ajili ya...
Nadhani kama Siku ya Hukumuy Kwake Mungu Sebuleni Kwake Mbinguni Wanaume wote tutahukumiwa na hii Dhambi ya Kudanganya / Kuongopa. Huwa nikikaa Mwenyewe na Kujitafakari kwa aina ya Uwongo ambao...
Habari zenu wakuu, herini kwa sikukuu pendwa za mwisho wa mwaka. Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2021 kwanza tumshukuru Mungu kwa zawadi ya huu mwaka na uhai hadi sasa tukiwa na imani ya...
Nimekuwa nikitafakari kwa kina juu ya neno “Tomboy.” Kwa kawaida, linamaanisha msichana ambaye ana tabia, mavazi, au mienendo inayohusishwa na wavulana.
Lakini kila nikilitafakari, linazidi...
Hii story bwana ilitokea miaka kadhaa wakati nasoma kidato cha pili hivi,
Jirani na shule yetu kulikuwa na nyumba za wakazi wengine ambazo baadhi yake zilikuwa na vyoo/mabafu ya PASSPORT SIZE...
Huu sio uzi wa chuki wala kejeli, ni namna ya kutazama haya makundi mawili hapa jamiiforums ambayo, wao huwa wanaangalia kigezo cha dini tu, yani yuko radhi usiku aite mchana ili kutetea upande...
Kwanza pamoja na kuwalaani sana kwa kutuletea samaki wenye sumu'ndugu zanguni hasa wale walioleta
nawashukuru amkuleta kitimoto maana madhara yake ni makubwa kuliko samaki hasa hasa mtawatesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.