Wajapan kweli wanatupenda;wangeleta kitimoto chenye sumu sijui nani angepona dar hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajapan kweli wanatupenda;wangeleta kitimoto chenye sumu sijui nani angepona dar hii

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Pdidy, Jul 29, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Kwanza pamoja na kuwalaani sana kwa kutuletea samaki wenye sumu'ndugu zanguni hasa wale walioleta
  nawashukuru amkuleta kitimoto maana madhara yake ni makubwa kuliko samaki hasa hasa mtawatesa sana
  hawa wazee walioachana na manyama...kwa upande mwingine tunaomba mkiwa mnataka kutuletea vyenye
  sumu muulize kwanza vijana wanapenda nini maana sasa hivi kuna idadi kubwa sna ya wazee waliokula hizi
  samaki nadhan soon tutakuwa tunawapumzisha pale kinondoni

  ila mliefanya hivi mungu atawatekeza wote walahi siio hivi hvi

  wazee wa kigorofa kwa kakobe,,wazee wa engine msiwe na wasi wasi ile mambo yetu
  ngroooooo ngroooooooooooo ngroooooooooooooo bado iko safe kama nawaona hivi mkiisasambua
  upande wa mguu angalien tu ziive maana madhara yake zisipoiva bora ule samaki wa mionzi ufe taratibu
  unasikia kama mdudu aanatembea zsehemu za hajakubwa akikishen wanaiva
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  When you see the item glow...especially at night...well then ???
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Awa wajapan nimesikia kwenye redio nimecheka sana kuna mradi waalileta magufuli akaukataa baada ya baadhi ya wah kuona kiwango cha lami sicho kabisa wakadai walikuwa wanatujaribu kama tutakubali kuwekewa lami yenye kiwango cha chini
  na kudai kulikuwa na wafungwa wanaletwa kuja kujifunza jinsi ya kutuwekea lami hawana adabu kabisa kila sehemu wanatupiga
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  If TZ leaders can't see, then, who to censure?
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Do we have leaders??mmhh
   
 6. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hahaha! but i understand jews .. hawatumii kiti moto!... so ungepona mkuu
   
 7. Kitabu

  Kitabu JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mi ningeona heri wangeleta huyo mbuzi katoliki,......aah naniii.....mkuu wa meza....aah... naniiii....kiti cha moto.Kwanza kitu chenyewe ni haramu kwenye biblia na kuran lakini watu wamerooooooooooo...... ukiwaambia wabishiiiiii kama kimba la mwisho,wananikera kweli.Utaona watakavyosema baada ya kusoma hii. Loh!!!!!!!!
   
 8. u

  ugawafisi Senior Member

  #8
  Jul 30, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  umenikosha mkuu, dunia imefika pabaya sana kwani anaefanya ushenzi na kula haramu kama kitimoto ndio wanaonekana wameendelea na wana akili lkn wale wanaofuata maandiko ya muumba wanaonekana wamepitwa na wakati. Wajapan lete kiti moto chenye sumu!
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  HAHAHAAA PDIDY UMASABABISHA NICHEKE AISEE.......the REALLY PDID OF JF.. NAKUKUBALI
   
Loading...