Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!?
Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa...
Taja aina ya magari na jinsi utakavyoyatumia.
Kwa mfano:
1. La kwendea kazini!
2. La kwendea sokoni!
3. La kuwapelekea watoto shule!
4. La safari za mbali!
5. N.k.
Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.
Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye...
Uliwahi kufanya kituko gani ulipokunywa Pombe hutosahau?
Niliwahi kunywa na kuanza kuropoka kuwa siwezi kusema siri zangu na hizo siri nikawa nazitaja😁😁
Cc: holoholo
Nomadix
Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye?
Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana...
Mbabe huyu hapa, anaitwa Collin diep. Nyoka mwenye maajabu mengi kuliko wote duniani. Leo fahamu maajabu 15 ya nyoka huyu, apatikana kwenye sehem za misitu, mabonde na mito.
1. Ana sumu inayoweza...
Mambozi
Jaman kitambo kiaina ila nawashirikisha jambo moja.
Nilimfatilia sana the bold miezi/ miaka hyo kabla hajaanza kupigwa ni bani ya kudedi kiumbe humu jamvini. Baadae akapotea na mkewe...
Habarini wakuu, naamini tunaendelea vizuri katika harakati za kujenga taifa, niseme kazi iendelee.
Baada ya kutimiza malengo yangu ya mwaka huu ndani ya robo tatu muhula wa mwaka (kuanzia mwezi...
Kuna siku nikiwa kwenye mishe zangu maeneo ya Ilala MTAA wa Arusha nilisikia sauti za watoto wakiiniita kando ya Barabara walikuwa kwenye UBA imepaki, walikuwa watoto wa kihindi, (Maisha safi)...
Kama unakumbuka majina au jina la gari ulipokuwa unaishi kuanzia miaka ya 1962-1990 tushirikishane hapa.
Basi la abiria kati Tabora hadi Mwanza liliitwa "MABOYA"
Watoto wa 2000 mkalale
Habari jamii Africa
Gereza linatisha,
Stori zake zinatisha,
Matendo ya huko yanaogofya,
Lakini ikiwa upo Duniani kaa ukijua muda na saa yoyote unaweza kuangukia huko.
Najua wengi...
Muda hautoshi. Tuwapange kwa ugumu wa kuwatetea. Mimi nawapanga hivi;
1. Single mothers
2. Polisi
3. John Mrema & company
4. Wafuasi wa makanisa ya kiroho/kilokole
5. UVCCM
6. BAVICHA
7...
Basi bhana leo nimerudi nyumbani baada ya kupiga sana mzigo kwa mwezi mzima katika taasisi fulani.
Kabla sijafika nyumbani nikaona sio mbaya kama nikipitia maeneo fulani kupata moja moto moja...
Wakuu, kama mada inavyojieleza hii chuma kwa sisi ngozi nyeus,i bila kuzivunja amri kumi za Mungu tutaendelea tu kuiona barabarani.#noreformnoelection🇹🇿🇹🇿
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.