Kwema wakuu.
1. WAPO WATU wanaodai radi ni jogoo, na mtabishana sana ukipinga kwamba sio jogoo. Wanadai mvua ikinyesha jogoo yuko nje, kuna uwezekano mkubwa wa radi kupiga eneo hilo. Je ni kweli...
Noma sana.
Nilikua bored sana nikaona nitafute sababu ya kuwa na furaha leo😅😅😅
Baada ya kutengeneza CV kwa dakika 10 kupitia Hii AI nikaona nianze kujifurahisha
Habari wakuu
Mara ya kwanza kujiunga na huduma za kibenki nilienda kwenye tawi la benki wakanisajili ikafika mda wa kufanya kadi iwe active.
Nimeenda kwenye ATM na yule mhudumu akaiweka kadi ndani...
Tunaomba Bunge Lipitishe Sheria
Turuhusiwe Kuwapiga Makofi Mashabiki Wa Simba Bila Sababu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili kuendelea kusherekea ubingwa wa wananchi Kwa...
Hivi unajua tofauti kati ya uzuri na utamu...😊
Hivi ni vitu viwili tofauti japo unaweza uvipate sehemu moja, na wakati mwingine unaweza kupata kimoja kingine kikakosekana.
Nijuacho mimi ni...
Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na...
Nimezunguka baadhi ya mikoa Tanzania kama vile Dar, Iringa, Mbeya, Morogoro, Lindi ,Kilimanjaro na Pwani lakini kuna Nkoa unaitwa Ntwara daaaaa😃😃
Watu wa mkoa wa Ntwara ni wazuri sana mdomoni...
Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema “ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bure”
Basi kabisa zima...
Bila kupepesa macho watu hao ni huyu jamaa anajiita Mume halali wa Ephen, mwingine ni huyu anajiita Mme Mwenza na watatu ni huyu secretarybird.
Tajiri Sina BAYA nataka niwakunyuge kisawasawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.