JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nina siku kadhaa hapa Moro ,si mwenyeji saaana,naomba wenyeji wanielekeze sehemu ya kutoka out na kutuliza mawazo ili kesho niwe na ari ya kupokea form za maombi ya sensa na kuzisaini pale ofisini...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Kesho nitakuwa mgeni wenu watu wa Mbeya na viunga vyake Naomba muwe wenyeji wangu
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna muda unakuta Dukani amenunua kitu alafu muuzaji anajisahau anakuongezea chenchi pasipo yeye kujua Je ghafla ghafla tu umepokea chenchi umeona umeongezewa alf muuzaji yupo busy Utafanyaje ...
5 Reactions
31 Replies
781 Views
Nauliza kwanini wanaume wafupi wanaringa wanajionesha, wanajisikia na kupenda kuonekana, ila wanaume warefu ni baadhi.
6 Reactions
37 Replies
3K Views
kuna binti nimemsaundisha jana,akanigea namba yake ya whatsaap,leo tumeanza kuchat whatsaap ghafla bin vuu ananiomba vocha,nikamtumia ya book,hii jioni nakuta anasema kama nna elfu tano nimuazime...
3 Reactions
42 Replies
1K Views
So confused......!!!!! Is this true to everyone......????
9 Reactions
15 Replies
492 Views
Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
16 Reactions
207 Replies
7K Views
Ukipewa box ambalo lina kila kitu ulichowah kupoteza kwenye maisha yako! Ni kitu gani cha kwanza utakitafta kwenye hilo box?
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Wale ambao tutafika mbinguni tukiwa tumechoka tukutane hapa 1. Kumnyandua mke wa mjomba tumbo moja na mama,staisahau hii dhambi, Mjomba aliniomba nimpe kampani mke wake wakati akiwa amesafiri...
20 Reactions
293 Replies
32K Views
Mwanamke mrefu anapenda mwanaume mrefu. Mwanamke mfupi, anapenda mwanaume mrefu, Sasa mwanaume mfupi atapendwa na nani?
8 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari wana JF, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa kautafiti kangu kasiko rasmi hasa nikiwa kwenye daladala au kagari kangu ka bei mbaya, nimeshuhudia wengi wa wadada /wamama (sio wote...
10 Reactions
146 Replies
17K Views
Jamani ndugu zetu Wachagga wana majina yaliyo enda shule, na ili uyaelewe shurti uwe msomi. 1. Beautiful Flower Shayo 2. Godlisten Shirima 3. Jesus is God Massawe...... Hebu na wewe tupia jina...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Miezi 9 tumboni mwa mama , saa 12 za uchungu, kukosa usingizi usiku zaidi ya mara 100, kuongezeka zaidi ya kilo 10 , afuuuu anafanana na baba yake.Mungu aendelee kuwa upande wenu wanawake.. 🙏...
2 Reactions
6 Replies
443 Views
Hakuna asiye jua eneo maarufu ndani ya Jiji la Dar es salaam. Embu elezea purukshani yoyote kutokea mbaga la uliyo wahi kukutana nayo:
1 Reactions
0 Replies
207 Views
Je wajua kuwa Wajapan ndio wanashika nafasi ya kwanza duniani kwa kunya kinyesi kidogo sababu hula kidogo sana kuliko watu wengine duniani wa mataifa mengine? Kama una nyumba pangisha wajapan...
1 Reactions
16 Replies
639 Views
Mchungaji alikuwa anawafundisha vijana somo la upendo na kusisitiza "PENDANENI KAMA MUNGU ANAVYOTUPENDA". Baada ya mwezi mmoja, kijana mmoja akamwendea Mchungaji na kumwambia, "MCHUNGAJI, SOMO...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu haya si maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mtu wangu mmoja ninayemwamini sana kwa kunipa uzoefu na nasaa juu ya mambo mbalimbali ya kimaisha.
3 Reactions
13 Replies
489 Views
Kwangu ilikuwa moja ya siku nzito sana na picha lilianzia palepale showroom ile nimekabiziwa tu mkoko. Nlikuwa sijui kuendesha lakini nling'ang'ana niendeshe mwenyewe nkakoswakoswa na daladala...
10 Reactions
32 Replies
989 Views
Ndugungu zangu katika imani! 1. Siku hizi nikiona mtu anaongelea usimba na uyanga namwona punguani. 2. Nikimwona mtu wangu wa karibu anaisifu Korea kaskazini kama nchi hatari duniani namwona...
33 Reactions
113 Replies
3K Views
Hivi huwa mna matatizo gani? Hili haliusiani na siasa tafadhali sana. Hapa ilipoandikwa tuende hapo. Wewe binti leo umekua vimaziwa hivyo Mabazazi wananyonya. Wewe binti umezaliwa baba yuko wapi...
2 Reactions
6 Replies
429 Views
Back
Top Bottom