Wanyama & wadudu wangekuwa wanatumia whatsapp

Wanyama & wadudu wangekuwa wanatumia whatsapp

Bana Balume

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
999
Reaction score
2,728
Basii status zao zingekuwa kama hivi


MENDE:- "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? "

PANYA:- "Jana nimekula sharti la boss linanuka kikwapa ile mbaya na leo nimekula nguo lenye pafyumu, nasikiaje kiu. uwiiiii"

NGURUWE:- Binadamu wabaya jamani, wameshanizushia nasambaza mafua "

MBU:- Sijui nina HIV, nimekomaje kunyonyanyonya hovyo.

MBUZI:- Tehe tehe tehe. thanks God pasaka imepita. ni kula BATA tuu mpaka christmas.

KUKU:- "Friends mkiona kesho kimya mjue nipo mezani maana kuna wageni wamekuja leo hapa home, tuombeane uzima wapendwa, love you all".


Cc:Not nonsence it's just for fun
Enjoy!!
 
Ahahaaaaaah, na fahari angesikika,
Daaaah sijui kesho wamepanga kunilimisha ekari ngapi, binadam wababe sana hata hawanishirikishi
 
Carlos J, Mkuu nimekubless kwa kukupa like yako ya kwanza kabisa hapa JF...[emoji16]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom