Hivi unajua kisa cha huu msemo wa "ukishangaa ya Musa utakutana na ya Firauni?
Haya ungana na mimi katika simulizi ya kisa hiki……
Hapo zamani sana enzi za himaya ya Firauni (Farao)...
Mama mmoja alikuwa akifanya usafi nyumbani kwake, kwa bahati akakuta kibox kidogo chini ya mvungu wa kitanda, alipokifungua alikuta kuna mayai matano na shilngi milioni mbili.
Mumewe aliporudi...
Leo nataka niwape za maeneo ya Kigogo Mburahati. Hivi karibuni nilikwenda maeneo hayo ya Kigogo kumtembelea mama yangu mdogo anayeishi maeneo ya Kigogo Mburahati.
Nilipofika maeneo hayo ya...
Question: what would you like to have? Fruit juice, Soda, Tea,
Chocolate, Milo or Coffee?
Answer: Tea please.
Question: Ceylon tea, herbal tea, bush tea, honey bush tea, ice-tea or
green tea...
Na Mwandishi Wetu
Wiki chache baada ya mwanamuziki mwenye heshima kubwa kunako Bongo Flava, Khaleed Mohamed TID kumvisha pete ya uchumba Miss Kinondoni the history aliyetajwa kwa jina moja la...
A Bushman picks up a mirror lying in the veld, but never having seen one before, does not know what it is. When he looks at it, he is shocked and scared because the face he sees looks just like...
A lady approaches her priest and tells him, "Father, I have a problem. I have two female talking parrots, but they only know how to say one thing."
"What do they say?" the priest inquired...
wenzetu wazungu wanajiachia sana. kaja mzungu mmoja mwanamama huko Arusha kwa shughuli za kitalii akiongozana na mbwa wake. Akaweka kambi huko maeneo ya mbugani akawa anaishi kwenye hema na mbwa...
Wanandoa walikorofishana muda mfupi kabla ya kwenda kulala.
Baada ya ugomvi kila mmoja akaamua kulala upande wake, maarufu kama mzungu wa nne.
Ilipofika alfajiri kama mjuavyo, jamaa jogoo wake...
This has to be one of the funniest things in a long time. I think this guy should have been promoted, not fired. This is a true story from the WordPerfect Helpline, which was transcribed from a...
Wanandoa walikorofisha ikawa hakuna kuongea ndani ya nyumba, kila mmoja akihitajia chochote kutoka kwa mwenzie inabidi amwandikei karatasi aweke mezani, kwa upande wa sex waliacha kabisa.
Siku...
Ona tangazo la biashara kwenye duka la mchaga:
KARIBU KWA MANGI UJIPATIE:
1.Sukari,mayai,baiskeli
2.kanga,pilau,walikuku
3.sambusa,tairi za trekta
4.madaftari na bia aina zote...
Mama mmoja wa kinyakyusa ATUNGANILE aliekuwa kazoea ku-megwa na mwanaume ambaye hajaenda Jando, Siku 1 kakutana na mwenye Jando alilia uwii! ndaga Mnyampala ujimenye imbombo fyakumenywa kumbe...
Monday, March 08, 2010 12:15 AM
Makahaba wapatao 40,000 toka nchi mbalimbali duniani wanatarajiwa kuingia nchini Afrika Kusini wakati wa kombe la dunia litakalofanyika...
Fundi cherehani mmoja alikuwa hoi baada ya kuingia mteja wake mmoja mrembo sana! Mrembo huyo alikuja kupima kitambaa ili ashonewe gauni; Ile kumtazama jinsi alivyoumbika, fundi uchu ukamshika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.