Ochu Platinum Member Joined May 13, 2008 Posts 976 Reaction score 50 Jul 2, 2010 #1 hapa akikatiza mbele ya banda ya BOT hata kuliona hataki kageuza shingo mbali
JS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 2,064 Reaction score 506 Jul 2, 2010 #2 Hivi ni yeye kweli au kafananishwa???
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,881 Jul 2, 2010 #3 JS said: Hivi ni yeye kweli au kafananishwa??? Click to expand... dah hata kwenye kufananisha haingii!!!
JS said: Hivi ni yeye kweli au kafananishwa??? Click to expand... dah hata kwenye kufananisha haingii!!!
Mpita Njia Platinum Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,189 Jul 2, 2010 #4 Ni mtoto wake ...lol...
Obuntu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2008 Posts 510 Reaction score 35 Jul 2, 2010 #5 Ochu, Kama upo Sabax2 utakuwa unafanya kama "avanta" yako inavyoonyesha! Au umepita karibu na banda la "einikeni"!
Ochu, Kama upo Sabax2 utakuwa unafanya kama "avanta" yako inavyoonyesha! Au umepita karibu na banda la "einikeni"!
Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 7,472 Reaction score 7,273 Jul 2, 2010 #6 Huyu ni Che- Mundungwayo, mwalimu wa kwanza kabisa wa Lwiza Mbutu, enzi hizo anaitwa Lwiza Nyoni....
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,881 Jul 2, 2010 #7 Obuntu said: Ochu, Kama upo Sabax2 utakuwa unafanya kama "avanta" yako inavyoonyesha! Au umepita karibu na banda la "einikeni"! Click to expand... hiyo ni ipi?
Obuntu said: Ochu, Kama upo Sabax2 utakuwa unafanya kama "avanta" yako inavyoonyesha! Au umepita karibu na banda la "einikeni"! Click to expand... hiyo ni ipi?
edwinito JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 210 Reaction score 24 Jul 2, 2010 #8 .....sijui nikushtaki kwa kunifananisha naye??!!!
Masanilo Platinum Member Joined Oct 2, 2007 Posts 22,283 Reaction score 4,555 Jul 2, 2010 #9 Hahahahahahahahaah ama kweli leo Ijumaa! Asante Mdau....nimeosha macho kwa huyo binti zaidi
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,881 Jul 2, 2010 #10 Masanilo said: Hahahahahahahahaah ama kweli leo Ijumaa! Asante Mdau....nimeosha macho kwa huyo binti zaidi Click to expand... ona sasa wewe ni hapo tu!!!!!!!!!!!
Masanilo said: Hahahahahahahahaah ama kweli leo Ijumaa! Asante Mdau....nimeosha macho kwa huyo binti zaidi Click to expand... ona sasa wewe ni hapo tu!!!!!!!!!!!