"Nsha lala nae tayari" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Nsha lala nae tayari"

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bujibuji, Jul 2, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,256
  Likes Received: 21,955
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa nasafiri na Kaka Musa kuelekea Arusha.
  Njiani akapanda bonge la sister du, na akaenda kukaa kiti kimoja na Kaka Musa.
  Fasta bila kuchelewa Kaka Musa akanitumia sms kuwa "Huyu demu lazima nilale nae".
  Mi nikamwambia poa, nakutakia kila la kheri.
  Kabla hatujafika Chalinze mrembo akasinzia. Baada ya dakika kumi Kaka Musa naye akasinzia.
  Baada ya nusu saa akaamka kisha akanitumia sms nyingine "Nsha lala nae tayari"
   
 2. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahaha! Kweli si wamelala wote kwenye kiti? huyu Musa mtu matata kabisa.
   
 3. senator

  senator JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Duh! kaka musa anamambo kweli!!
   
Loading...