Sheikh yahaya mganga mkuu ccm

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,237
Mpaka sasa bado sijaanza kuamini kama kumbe wanaccm wanamuogopa zaidi sheikh yahaya kuliko hata Mungu. Kuna wengi walionyesha wazi kumpinga jk wakati atakapokuwa akiomba tena ridhaa kwa wana ccm lakini baada tu ya huyu sheikh feki kumwaga sumu yake kwa mbwembwe kuwa atakayempinga jk atakufa kifo cha ghafla basi....wote wamefyata mkia. Hivi kwa staili hii ya kutumia waganga wa kienyeji ni kweli ccm itakuja kujenga demokrasia ya kweli hapa nchini zaidi ya demokrasia hii ya kuoneana huruma na kujengeana hofu??....Hivi kuna watu kweli wameendelea kuhurusiwa kufikiri kweli zaidi ya kubali tu yaishe kama ilivyofanyika kwa richmond ???
Bado sijajua rais atakaekuja ataleta vitisho gani wakati atakapo kuwa anataka kuemndelea kukaa ikulu....MBAYA ZAIDI KIKWETE NA IKULU WANABARIKI UHUNI HUU NCHINI HAWAKEMEI WANAONA NI UHURU WA MTU KUTO VITISHO JUU YA MSTAKABALI WA TAIFA HILI.
Siamini kama tutakuja kufika kwa mwendo huu....
 
Mpaka sasa bado sijaanza kuamini kama kumbe wanaccm wanamuogopa zaidi sheikh yahaya kuliko hata Mungu. Kuna wengi walionyesha wazi kumpinga jk wakati atakapokuwa akiomba tena ridhaa kwa wana ccm lakini baada tu ya huyu sheikh feki kumwaga sumu yake kwa mbwembwe kuwa atakayempinga jk atakufa kifo cha ghafla basi....Shibuda amefyata mkia. Hivi kwa staili hii ya kutumia waganga wa kienyeji ni kweli ccm itakuja kujenga demokrasia ya kweli hapa nchini zaidi ya demokrasia hii ya kuoneana huruma na kujengeana hofu??....Hivi kuna watu kweli wameendelea kuhurusiwa kufikiri kweli zaidi ya kubali tu yaishe kama ilivyofanyika kwa richmond ???
Bado sijajua rais atakaekuja ataleta vitisho gani wakati atakapo kuwa anataka kuemndelea kukaa ikulu....MBAYA ZAIDI KIKWETE NA IKULU WANABARIKI UHUNI HUU NCHINI HAWAKEMEI WANAONA NI UHURU WA MTU KUTO VITISHO JUU YA MSTAKABALI WA TAIFA HILI.
Siamini kama tutakuja kufika kwa mwendo huu....
khaaa
 
Huku kutegemea waganga wa kienyeji katika uongozi wa nchi, ndo kunafaya mambo yaende kimazingaumbwe. Mkuu ameshinda kuchukua maamuzi mazito aliyopaswa awachukuliwe mafisadi.
Nafikiri mafisadi walimwai kwa Yahaya, na akapigwa stop kuwachukulia hatua.

LAKINI je Yahaya akiwaambia wasigombee, watamtii?
 
ndiyo si unaaona wamenywe wote hata wale waliokuwa na point za msingi kabisa.........
Huku kutegemea waganga wa kienyeji katika uongozi wa nchi, ndo kunafaya mambo yaende kimazingaumbwe. Mkuu ameshinda kuchukua maamuzi mazito aliyopaswa awachukuliwe mafisadi.
Nafikiri mafisadi walimwai kwa Yahaya, na akapigwa stop kuwachukulia hatua.

LAKINI je Yahaya akiwaambia wasigombee, watamtii?
 
yes......alikuwa moto sana ila baada ya sheikh yahya kuongea vile vitisho alivyotumwa na jk basi hajaongea tena..........
Swali la kizushi, hivi Shibuda alimuona Sheikh Yahya na yeye?:biggrin1:
 
Nasikia shibuda akipewa kitu kidogo ili asichafue record ya jk kwamba hakupingwa na mtu yeyote na baada tu ya kummaliza shibuda basi ccm haikuwa inaona ni mtu gani anayeonekana kuweza kuamua kuchukua form ndipo kwa tahadhari JK alimuomba sheikh yahya atumie nafasi hiyo kutishia watu lakini in fact ni kwamba baada ya shibuda hawakujua nani tena atajaribu kutia maguu kuchuana na mla nchi jk.........
Inawezekana tukafika kwa kudra za mwenyezi Munungu tu lakini sio kudra za S.A.W
 
tutaendelea hivi hivi kuongozwa na manyani

Itakuwa hivyo hivyo mpaka hapo Nyerere atakapofufuka!! Ndio maana alipokuwa anakufa alitamka kuwa anawaonea huruma waTanzania wake, kwani alijua kitu gani kingefuata baada ya uhai wake kutoweka!
 
Kinachotakikana tusipoteza muda wa kumsema eti sheikh Yahya kuwa ni Mganga Mkuu wa CCM, tunataka ni chama gani kitakachoweza kuishinda chama cha CCM?Kitu muhimu kuwa vyama vya Upinzani viwe kitu kimoja kwenye Uchaguzi ili viweze kukishainda CCM na kukiondowa kwenye Madaraka.Msiangalie huyu Sheikh Yahaya Mganga wa CCM tunachotaka kung'owa CCM kwenye Madaraka tusipoteze muda wa kumsema sheikh Yahaya Mganga Mkuu wa CCM. huo ndio Ushauri wangu asanteni.
 
Vyama vya upinzani vinaimba kijamaa, lakini vinacheza kibepari, haita kuja kutokea hata siku moja wakaungana. Labda CCM yenyewe itake au walazimishwe na wahisani wao ulaya.

Kwani mkuu ujui kuwa vyama vya upinzani ni playground ya CCM!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom