Heshima zenu wakuu,
Nimekua nikifuatilia sana habari za babu yetu wa loliondo kwa karibu sana na nimejifunza mambo meengi sana baada ya babu yetu huyu kupewa 'maono' na kikombe cha 'uponyaji'.
Mim...
Ndugu mpendwa ukiwa mmoja wa wapendwa wanaoamini dawa kutoka kwa Mungu ya bwana Ambilikile tumeona mpaka sasa serikali aijaonyesha uwezo wake halisi kumsaidia babu huyu ikiwemo kusaidia miundo...
Natafuta Rafiki wa kudumu.
Awe na sifa hizi:
1.Mpole na mwenye hekima
2.Mcha mungu
3.Mrefu, mrembo na mtulivu
4.Afahamu vyema uhalisi wa maisha ya kitanzania
5.Awe na kazi,na elimu...
It really amazes me how the whole nation can be fooled to believe that there is a cup that can cure several stubborn diseases (AIDS, diabetes, Pressure, etc) just by drinking it. Fellow Tanzanians...
MTOTO; Baba niletee glass1 ya maji ya kunywa,
BABA; pumbavu unawazimu? Hebu njo ufate mwenyewe.
MTOTO; Niletee bwana.
BABA; Nitakuja hapo nikuchape vibao oooho!
MTOTO; Basi ukiwa unakuja...
Nimekumbuka Hii MSN group ya kwanza kwanza kabisa kwa hapa Tanzania ambayo ilivuma sana kwenye miaka ya 2003/2005, hii Group ilisababisha watu wengi kuvujiana heshima baada ya kujafahamiana...
Mwakyembe anatafuta
Pepo chafu la kumdhuru
*Amesahau Mengi ni Barrick, Kilango hoi
KUNA chembe ya kutaka nafasi ya 'u-wokovu' na hata 'ufia dini' ambayo inaelekea inagombewa na baadhi ya...
Habari za kuaminika toka ndani ya Wanachama ngazi ya juu chama cha CCM inasema, wataalamu kutoka South Afrika walitumia ujuzi wao wa kuongoza Raia kwa kuwafundisha Serikali ya Tanzania kumtumia...
Jamani huu ni wivu wa kiimani au nini wadau?...huyu Mtu kumuonea wivu Babu anamaana gani. hebu ichekini hii taarifa ilyoandikwa na
Elizabeth Suleyman gazeti la mwnanchi....15 march 2011
Mtume...
A man, sitting outside his home about to be evicted from his house,
was contemplating how the future would be..
He had divorced his wife, lost his children, lost his job. He notices a crate of...
aagiza wastaafu wa jumuiya ya africa mashariki walipwe mara moja,na pia amtaka mkullo akaze buti kwenye makusanyo ya mapato...thanx to loliondo atleast someone is coming back to his senses
Mama mkwe: Binti samahani lakini,kusema kweli Huyu mtoto hafanani na kijana wangu kabisa.
Binti:Mama bila samahani, huku chini nina njia ya uzazi na sio mashine ya photocopy. :gossip:
My friend kanitumia email hii (Msijesema sijasema meitoa wapi bure...)
A famous heart specialist doctor died and everyone was gathered at his funeral. A regular coffin was displayed in front...
Mzee wakichaga uvumilivu umemshinda, baada ya kupigia hesabu mia tanotano za babu, kaingiwa na uchu kaamua kumtoa kijana wake wa pekee mwanafunzi kwenda kwa babu na kudai eti ni mtoto wa babu...
Mbona kila anaetetea dawa za huyu Babu wa LOLIONDO anaonekana kama ni mpenzi au Mkereketwa wa CDM? maana wote wanaotetea hiyo dawa ukifuatilia post zao nyingi utaona wameshabikia CDM!!!
Sasa...