Rafiki

clet 8

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
1,127
322
Natafuta Rafiki wa kudumu.
Awe na sifa hizi:
1.Mpole na mwenye hekima
2.Mcha mungu
3.Mrefu, mrembo na mtulivu
4.Afahamu vyema uhalisi wa maisha ya kitanzania
5.Awe na kazi,na elimu kuanzia kidato cha nne
Hizo ni zile za msingi kwangu, lkn haimaanishi kuwa hapo ndio mwisho zipo zingine nyingi za ziada.Atakayeguswa 2wasiliane kupitia +255715020858.
 
mh kweli upo siriaz.
kwa mimi najitoa, sio mrembo japo sifa mingine zote ningeweza kushindana.
 
Zimetuchosha hizi mnaleta thread kutafuta mkipata no feedback.

Kila heri muheshimiwa
 
Natafuta Rafiki wa kudumu.
Awe na sifa hizi:
1.Mpole na mwenye hekima
2.Mcha mungu
3.Mrefu, mrembo na mtulivu
4.Afahamu vyema uhalisi wa maisha ya kitanzania
5.Awe na kazi,na elimu kuanzia kidato cha nne
Hizo ni zile za msingi kwangu, lkn haimaanishi kuwa hapo ndio mwisho zipo zingine nyingi za ziada.Atakayeguswa 2wasiliane kupitia +255715020858.

Urafiki tu urembo wa mtu unautakia nini?
 
Urafiki wenye sababu sio urafiki. na pia ukiwa too selective utaishia kupata rafiki waovyo. Let everyone be your friend hapo ndio utajifunza mengi na pia kutambua rafiki yupi mzuri.
 
Wewe ni jike au dume? Umri/dini/kabila/ in short anza ww kuweka wasifu wako
 
Huyo ni rafiki au zaidi ya rafiki? Maana kama ni urafiki naoujua mimi wa kawaida hutakiwi kuweka vigezo. Asili italeta asili bila sababu ya asili kutokea kiasilia.
 
Huyu anatafuta mupenzi PERIOD! na anadai kuna vigezo vingine hajaviainisha kazi kweli kweli,hii intavyu liz lazima utafeli tu lol!

WHY????KWANINI????Jamani Uporoto...ndo kusema mimi sio mzuri au bongo lala???
 
WHY????KWANINI????Jamani Uporoto...ndo kusema mimi sio mzuri au bongo lala???
Hapana baby unakidhi viwango vya kimataifa,nimesema hivyo baada ya jamaa kusema pamoja na vigezo hivi kuna vingine tena vya ziada.
 
Hapana baby unakidhi viwango vya kimataifa,nimesema hivyo baada ya jamaa kusema pamoja na vigezo hivi kuna vingine tena vya ziada.

Hahahahahha...hivi kumbe kuna vya ziada!!!Embu nipe lifti nikamwone Sipiyu kazini....nataka kumshangaza sijui wenyewe mnasema kusapraizi!!!
 
Hahahahahha...hivi kumbe kuna vya ziada!!!Embu nipe lifti nikamwone Sipiyu kazini....nataka kumshangaza sijui wenyewe mnasema kusapraizi!!!
Duh! hapo utanisamehe beautiful lifti nayoweza kupa ni kwenda kwangu,kwako au tukitoka usiku lol!
 
Duh! hapo utanisamehe beautiful lifti nayoweza kupa ni kwenda kwangu,kwako au tukitoka usiku lol!

Natumaini Sipiyu ataona hii kitu ili siku nyingine ukiwambie kitu asikuamini!!!Haya basi nishushe posta huko kwingine ntaenda mwenyewe!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom