Loliondos revelations | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Loliondos revelations

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by cheusimangala, Mar 17, 2011.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Heshima zenu wakuu,
  Nimekua nikifuatilia sana habari za babu yetu wa loliondo kwa karibu sana na nimejifunza mambo meengi sana baada ya babu yetu huyu kupewa 'maono' na kikombe cha 'uponyaji'.
  Mim ni mkristo na ninaamin sana kuwa kama vile Mungu alivyomtumia Musa kuwaokoa wana wa israel waliokua wakiteseka na kuangamia hashindwi pia kumteua mtu kutuokoa na magonjwa yetu japo nachanganyikiwa kidogo maana alisema hataiteketeza tena nchi kwa moto wala kwa maji bali kwa mapigo ya magonjwa na njaa.
  Anyway mim ninaamin kwamba MPANGO WA MUNGU NI LAZIMA UTIMIE no matter what(ni ile mipango iliyoandikwa ktk bibblia).
  lENGO LA THREAD YANGU NI KWAMBA NAOMBA KILA MWENYE USHUHUDA WA KUPONYWA NA DAWA YA BABU AUANDIKE HAPA.
  ZIMESHAPITA SIKU SABA TOKEA HUDUMA HII YA BABU IANZE NA WENGI WALIAMBIWA BAADA YA SIKU SABA WAKIPIMA UKIMWI UTAKUA UMETOWEKA HIVYO NAOMBENI MLIOPIMA NA KUPATA MAJIBU MAZURI MSHUHUDIE KWA UTUKUFU WA 'MUNGU' ALIYEWAPONYA.
  MBARIKIWE SANA.
   
Loading...