Mtoto wa babu ataka ucashier

Mtoto wa babu ataka ucashier

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
847
Reaction score
80
Mzee wakichaga uvumilivu umemshinda, baada ya kupigia hesabu mia tanotano za babu, kaingiwa na uchu kaamua kumtoa kijana wake wa pekee mwanafunzi kwenda kwa babu na kudai eti ni mtoto wa babu alimzaa long huko uchagani.

Babu hakatai kondoo, kasema ok ,utasaidia kwenda kutafuta dawa na kuni watu wapate dawa

Mtoto hataki kazi yoyote anataka kuwa cashier tu!
 
Lol!hapo babu sidhani kama atakubari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom