Hivi babu ni chadema?

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,073
341
Mbona kila anaetetea dawa za huyu Babu wa LOLIONDO anaonekana kama ni mpenzi au Mkereketwa wa CDM? maana wote wanaotetea hiyo dawa ukifuatilia post zao nyingi utaona wameshabikia CDM!!!

Sasa napata wasiwasi kuwa huenda huyu BABU anauhusiano au ni Mpenzi wa CDM hivyo wanaotetea dawa hiyo tata hawaoni wala hawasikii ili mradi wanatetea dawa inayotolewa na mwenzao hapa ndipo tulipofikishwa WaTZ!!!!!!
 
muuluze jk maana habar za kiintelijensia zinasema alishapiga vikombe vi3
 
Mbona kila anaetetea dawa za huyu Babu wa LOLIONDO anaonekana kama ni mpenzi au Mkereketwa wa CDM? maana wote wanaotetea hiyo dawa ukifuatilia post zao nyingi utaona wameshabikia CDM!!!

Sasa napata wasiwasi kuwa huenda huyu BABU anauhusiano au ni Mpenzi wa CDM hivyo wanaotetea dawa hiyo tata hawaoni wala hawasikii ili mradi wanatetea dawa inayotolewa na mwenzao hapa ndipo tulipofikishwa WaTZ!!!!!!

Crap, sio lazima uanzishe thread kama huna hoja ya msingi ya kushare na watu, by the way kama una cha kukukeep busy mpigie simu my love wako mkacheze kidari poo.
Hapa tupo kimapinduzi zaidi,na sio crapiest corner.
 
Lukuvi na Mkuu wa Mkoa wa Arusha ni CDM?! sina huakika ebu nisahidie maana wao ndio wakwanza kumtetea Babu na Huduma yake! sina uhakika na Omari M. yule IGP mstafuu kama ni CDM maana pia niliona picha yake akiwa kwa Babu.
 
wagonjwa wengi ni wana ccm maana wengi wao wanasumbuliwa na magonjwa sugu ukiwemo ulw wa kisasa
 
Hivi kama babu ni Chadema atakuwa ametenda kosa la uhaini au jinai eee?
 
wagonjwa wengi ni wana ccm maana wengi wao wanasumbuliwa na magonjwa sugu ukiwemo ulw wa kisasa

Pole sana kwakuto elewa kuwa CDM kinawafuasi wenye akili timamu sio upupu wa CCM wanao fuata pesa hadi kwenye mikutano ya hadhara......Halafu kunajambo laajabu ambalo naliona kwa wa fuasi na wanachama wa CCM sifa yakwanza ili uwe mfuasi au mwanachama wa CCM lazima uwe naupungufu wa akili........Ila CDM lazima uwe next level
 
Tusichanganye udini na dawa ya Loliondo utawagusa na kuwagawa watu wasiohusika na dawa hiyo hapa JF na nje ya JF.
 
Nimepoteza muda wangu kujibu huyu zumbukuku kwakuwa nimejibu bila kuangalia Id, kumbe ni ZUBEDA? karinu kutoka kifungoni ila ukiendelea kama kawa unafutwa jumla!
 
Kimsingi unaposhambulia dini ya mtu mmoja daima unawalenga hata wasiohusika ndani ya dini unayoisakama.
 
Hivi unaitwa zubeda au zuberi weye maana unaonekana kama BABU KA KUUZI SANA SIO SHIDA ILA NI Radio kheir inakupotosha pole babu adumu
 
Maneno yako yangekuwa na busara na hekima kama post yake ingeachana na udini.

Kumbe kuitaja CHADEMA ni UDINI? yaani unataka kutuambia kuwa CDM ni Cha kidini kama inavyosemekana? mimi sijazungumzia habari ya dini wewe umeitoa wapi?
 
Kimsingi unaposhambulia dini ya mtu mmoja daima unawalenga hata wasiohusika ndani ya dini unayoisakama.

Kumbe kuitaja CHADEMA ni UDINI? yaani unataka kutuambia kuwa CDM ni Cha kidini kama inavyosemekana? mimi sijazungumzia habari ya dini wewe umeitoa wapi?
 
Udini ni kimbilio la wapumbuvu. Ni kichaka cha kujificha wapumbafu.

Kumbe kuitaja CHADEMA ni UDINI? yaani unataka kutuambia kuwa CDM ni Cha kidini kama inavyosemekana? mimi sijazungumzia habari ya dini wewe umetoa wapi hayo?
 
hivi ilikuwaje mpaka uwaze uchama wa huyu Babu na dawa yake?
kwamba dawa ina mafungamano na chama flani, bora form four wa YUSUF MAKAMBA SEC.SCHOOL kisukuru
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom