Onyo

Onyo

Black Devil

Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
58
Reaction score
8
Habari za kuaminika toka ndani ya Wanachama ngazi ya juu chama cha CCM inasema, wataalamu kutoka South Afrika walitumia ujuzi wao wa kuongoza Raia kwa kuwafundisha Serikali ya Tanzania kumtumia Babu wa Loliondo (bila ya yeye kujua) kuelekeza matangazo yote ya Redio, Tv, Magazeti n.k ihamie Loliondo badala ya kuwa kama yalivyokuwa yamehamishia nguvu zake za kumkosoa Raisi JK na chama cha CCM.

Hata South Afrika, Watu weusi huwa wanakuwa na maamuzi ya ajabu wanaposikia neno SANGOMA (Mchawi), viongozi hao wa ngazi ya juu CCM wamesema, Vigogo wote wanaoenda Loliondo ni danganya toto bali ni kwa ajili ya kuwahamashisha Raia wa kawaida waendelee kwenda Loliondo na kuwafanya wasahau matatizo yao ya kila siku!

Hata sisi tunaona labda kuna ukweli ndani yake, maana kama kawaida ya CCM wangeweza kuficha sura za Vigogo wao kama wangetaka maana CCM ni watu mashuhuri sana kwa kuficha chochote kinachohusu chama au watu wao wa chama.
 
wajinga ndio waliwao

Kama tunakubali kuwa diverted easily, then sisi ndio mazuzu:hatari:
 
mmh!!speechless,ila kama kuna kaukweli flani ndani yake!!!
 
mmmmhhhhh, mi sijaikubali hiyo.....na hao wanaotoa ushuhuda inakuwaje?? hapo siungi mkono bana!
 
*
Habari za kuaminika toka ndani ya Wanachama ngazi ya juu chama cha CCM inasema, wataalamu kutoka South Afrika walitumia ujuzi wao wa kuongoza Raia kwa kuwafundisha Serikali ya Tanzania kumtumia Babu wa Loliondo (bila ya yeye kujua)*kuelekeza matangazo yote ya Redio, Tv, Magazeti n.k ihamie Loliondo badala ya kuwa kama yalivyokuwa yamehamishia nguvu zake za kumkosoa Raisi JK*na*chama cha*CCM.
*
Hata South Afrika, Watu weusi huwa wanakuwa na maamuzi ya ajabu wanaposikia neno SANGOMA (Mchawi), viongozi hao wa ngazi ya juu CCM wamesema, Vigogo wote wanaoenda Loliondo ni danganya toto bali ni *kwa ajili ya kuwahamashisha Raia wa kawaida waendelee kwenda Loliondo na kuwafanya wasahau matatizo yao ya kila siku!
*
Hata sisi tunaona labda kuna ukweli ndani yake, maana kama kawaida ya CCM wangeweza kuficha sura za Vigogo wao*kama wangetaka maana CCM ni watu mashuhuri sana kwa kuficha chochote kinachohusu chama au watu wao wa chama.
loliondo 9.jpg
Unataka kuniambia ngoma yote hiyo ni danganya toto! no way!
 
We ndo ZUZU, Lyatonga nae ni CCM, mbona katoa ushuhuda! na Mbowe nae ni CCM? vipi kuhusu Dr Slaa, manake alikwenda kule na dem wake! acha uzuzu wewee!


Dr. Slaa hawezi kunywa kikombe cha babu wewe; acha kupotosha watu.

Na siku akitoa ushuhuda hautaamini maana atakuja na ushahidi wa vipimo vya Daktari.
 
mmmmhhhhh, mi sijaikubali hiyo.....na hao wanaotoa ushuhuda inakuwaje?? hapo siungi mkono bana!
wachunguze kwa makini utawajua wana maana gani

Its a desperate country, in desperate times, with desperate people in depserate media hype
 
wachunguze kwa makini utawajua wana maana gani

Its a desperate country, in desperate times, with desperate people in depserate media hype


yaani inavyoelekea hata kama babu angeibuka na kudai mkojo wake unaponyesha magonjwa sugu watu wangekwenda kuunywa.

a nation in desperado.
 
mgeni hata na hodi hajapiga...post ya pili hii mtu mwenye umeingia leo unaanza kutoa pumba.....CRAP
 
Mimi nakubaliana 100% baada ya wiki kadhaa tutashuhudia tulivyohamishwa kifikra.Iweje babu aibuke ghafla tena baada tu ya sokomoko la kutaka kutumia nguvu ya UMMA????.

Mimi nakubaliana na Joseph Mwingira wa Effata pamoja na Cardinal Pengo kuwa kama ni ujumbe wa mungu kwa Mchungaji Mwakipase iweje jina la Yesu/Mungu baba lisitumike?????? kama kweli alioteshwa na Mungu????? ni kweli watu watakuwa wanapona kwa illusion tu na si vinginevyo.Muda si mrefu tutakubaliana kuwa ni uongo
 
Sasa mrema kaingia chaka au mwenzao? mimi control group yangu ni mrema nataka aanze kunawili
 
Haya madai yana ukweli kwa kiasi fulani lakini ndio itakuwa kaburi la CCM kama watu wataligundua hilo.

Kwa upande mwingine harakati ziko pale pale.
 
nafkiri thread za babu na loliondo zinatosha JF!... tukiendelea kujadili huu upuzi tutakuwa kama wale waliopanga foleni na kupewa chai ya babu.. na kudanganywa dawa
 
Back
Top Bottom