Mama mkwe na mwali wake

Mama mkwe na mwali wake

samanya

Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
48
Reaction score
6
Mama mkwe: Binti samahani lakini,kusema kweli Huyu mtoto hafanani na kijana wangu kabisa.

Binti:Mama bila samahani, huku chini nina njia ya uzazi na sio mashine ya photocopy. :gossip:
 
Mmmmmhhh shuuuuuuuuuuuuuuuuuu mpaka dole gumba la mguu shoto.
 
hawa ni watoto wanaitwa( dot com) huyu mama mkwe ni BBC ( born before computers ) hivyo majibu hayawezi
 
Tehe tehe tehe tehe! Kwa kwa kwa kwa kwa! Wiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiihuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
haluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, dah, ndiyo hakuna fotokopi kweli bwana.
ha ha haha ha haha
 
Back
Top Bottom