Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
chonde chonde Mods.
wanasema samehe 7 x 70
wanasema samehe 7 x 70
angekaa huko mwaka 1
chonde chonde Mods.
wanasema samehe 7 x 70
angekaa huko mwaka 1
Naunga mkono hoja, MODS wanaacha kuwatoa watu wanaosumbua na kupotosha malengo ya mada mbalimbali wanakimbilia kufungia mtu ambaye ametaja neno SOKWE tena mara moja anachwa anayeeneza kila siku udini ukabila na mambo kama hayo, yupi kati ya hao wenye impact mbaya kwa jamii.chonde chonde Mods.
wanasema samehe 7 x 70
If MODS were serious enough these are the members whom should be dealt with including muhogomchungu ambaye kila bandiko lake ni la kidini.Jamani Mods tunawasihi naomba mmfungulie Rev Masanilo, mbona kuna members wengine ambao kwa makusudi huwa wanachafua hali ya hewa hapa jamvini ikiwemo huyo dogo Kupeng'e, Majimshindo, Genius brain hawachukuliwi hatua yoyote, na mara zote BANS za Rev zinatokana na uchokozi wa baadhi ya Member humu jamvini naomba mmuache huru...
chonde chonde Mods.
wanasema samehe 7 x 70
angekaa huko mwaka 1
Naungana na wewe 100% hatutaki wahuni kwenye hii forum, Invisible anawaita (wapuuzi)kama vipi wampige life ban awe anachungulia kama wengine
kama vipi wampige life ban awe anachungulia kama wengine