Wajameni nakosa raha humu JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wajameni nakosa raha humu JF

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kasopa, Mar 16, 2011.

 1. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sinaraha kutokuwepo kwako amani sina moyoni. jameni faraja imepotea umepatwa nini ewe Michelle wetu janvini kupotea Japo Lizzy LD na Afrodenz. (Dena amsi punguza mchunguzi wewe). Finest. Uporoto. Maria roza. Cpu na babulao. festlady. Mwanjamiflani. Shost. Katavi. wantupa faraja kuwepo kwao lakini nafasi yako inavuja tafadhali Lzzy nifkishie salam. Nawapenda sanaaaa Mbarikiwe
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kaaazi kweli kweli!!!Embu mPM fasta!!!
   
 3. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yupo usife moyo inshaallah atawasili muda si mrefu,,,we vumilia tuu ndio maisha hayo....
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nitamfikishia salamu nami pia nimemmiss.
   
 5. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lzzy inamana mimi sioni?? nimemtafuta zaidi ya masaa 10 simuoni janvini
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kama hayupo jamvini ataonaje ujumbe unaoacha jamvini???MmPM apate taarifa alipo!!!
   
 7. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nilham tuna miss sana mmja asipokuwepo hapa inakosesha raha sheusi mangara pia tuna miss kutokuwepo kwake
   
 8. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Poaa ntafanya hivyo. Cpu hajambo
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Kasopa bana nimekukosea nini tena hiyo bluuu hiyo nifahamishe tafadhali nijirekebishe
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mzima...umemmiss na yeye???
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  Hdehehehe...anatafuta gia ya kuongea na wewe!!!
  ( Shemeji mbaya hajambo??? )
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kasopa michelle ameenda loliondo baada ya kufika huko kumetokea matatizo alikiuka masharti ya Babu yeye badala ya kunywa kikombe kimoja akanywa dumu la lita tano sasa dawa imemzidia mwilini ameambiwa asubirie hadi itakapopungua ndio watamruhusu kuondoka.
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kiongozi hivi Sharobaro Klorokwin hajarudi bado???
   
 14. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hujakosa kitu dadaangu nimegundua tu huwa mgunduzi wamakosa ambayo watu wengi huwa hawasu2kii lakini wewe maramoja huyaona

   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160


  Lizzy bana acha kugonga pentagon live.

  Nimecheka (Shemeji yako siku hizi ana vituko kweli eti ananiita Baby nimecheka sana jana na uzee wote huu nimekuwa Baby)
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Hata wewe nimeshakugundua sasa ngoja niku PM
   
 17. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Aloooouu salaale shughulipevu hiyo kimwana wetu jamaniiii nishkeni mkono sina nguvu miee

   
 18. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,746
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 180
  hii crap inafaa kwenda lounge ya cheat-chat
   
 19. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Usini PM bibie ingekuwa wakati ule naile invatara yako ya zamani hapo ingekuwa sawa laknini sasa naogopa kurudisha uliko toka
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  we mkaree

  umenikumbusha rapa wa FM academia aisee
  wapi mama switii
  wapi ndama mutoto ya ngombe
  wapi papa msofe
  wapi mutu ya mayi kitokololo

  khe khe kheheheeeeeeeeeeeee
   
Loading...