Mfugaji wa kasuku alimrudisha kasuku kwa muuzaji ili ampe mwingine kwani anatukana sana,
Muuzaji kampa mwingine na kumwambia huyu mstaarabu ten akinyanyua mguu wa kulia anaongea kiingereza, wa...
Karume baba alitembelea gerezani kwa nia ya kutoa msamaha kwa wafungwa ambao makosa yao hayakuwa makubwa. Kila mmoja akaeleza kosa lililomleta pale kama kuiba kuku, kumtukana jirani. Ilipofika...
Nimesikiliza hii video ambayo imetundikwa kwenye Youtube. Msikilize mzungumzaji wa pili akizungumzia Rais JK kupata kikombe cha Babu. Je ni kweli?
Nawasilisha.
As alaykum.Naitwa Ally, ni mwalimu shule ya sekondari serikalini,umri ni miaka 25.Natafuta mke wa kumuoa Serious! Awe na sifa:
*Muislamu Mchamungu
*Asizidi miaka 22
*Awe amehifadhi Quran Tukufu...
Padri na shekhe walikutana kwenye ndege, Padri akamkaribisha shekhe kitimoto,shekhe akasema si hatulagi, padri akasema mnakosa uhondo.
Wakati wa kushuka shekhe akamwambia padri msalimie mke...
Mtoto mmoja wa kichina, Yu U. Chi, alihamia Marekani na wazazi wake . Siku ya kwanza ya darasa, baada ya mwalimu kumtamblisha akasema.
Leo tujikumbushe kidogo historia ya Marekani. Nani alitamka...
Mzee saidi kasindikizwa na mkewe hadi kituo cha basi kuwahi safari.mkewe aliporudi home saidi alikumbuka amesahau CV yake ikabidi airudie.kufika nyumbani kampata mkewe anaosha vyombo na kutaka...
kati ya maswali ambayo huwa najiuliza na sipati jibu ni-kwanza,vipi sumatra wanashindwa kudhibiti daladala kujipandishia nauli kiholela- hasa jijini dar? pili; hivi wakati wa mwaibula hakukuwa na...
jamani hizi njaa zinatupeleka pabaya na hawa viongozi wetu inaonekana ni hopless mandazi. Bibi mwingine yupo mtwara katk kijiji alichozaliwa mkapa naye anagawa kikombe kwa jero jero. Mpaka jioni...
Hana miguu lakini anasimama...
Hana mikono lakini anachapa watu wazima mpaka wanalia...
Ni mdogo kiumbo,lakini akikasirika anaongezeka ukubwa..
Ana jicho moja,lakini usiku kwenye giza anaona...
A very sad joke, but its like truth any way
Conversation between a child and the Judge in court:
Judge: Do you want to live with your mother?
Child: No
Judge: Why?
Child: She beats me.
Judge...
section G: jibu maswali yote;
marks awarded 100%
time: 10mnts.
QN1. kama hela haitoki kwenye miti, kwanini benki zina matawi?
QN2. kwa nini gundi haigandi kwenye chupa yake?
QN3. kama hatutakiwi...
kufuatia hatua ya kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania kubariki huduma ya uponyaji inayoendelea kufanywa na mmoja wa wachungaji wake wastaafu mch. ambilikile mwasapile baada ya kuoteshwa na...
Mtoto aliomba dua mbele ya wageni na familia yake:
"Ee Mungu nakushukuru kwa kunipa wazazi
wakarimu; Nakushukuru kwa
kuwaleta wageni hawa
waliomaliza chakula changu;
Nakuomba Mungu usiwalete...
Dogo m1 wa darasa la kwanza alipanda daladala huku akiimba kwa sauti kubwa v2 alivyofundishwa school baba akiwa jogoo mama akiwa kuku mimi ntakua kifaranga, baba akiwa beberu mama akiwa mbuzi...
Mwanamume mmoja alikuwa akiendesha gari nje ya mji, karibu na krosi akapishana na mdada akitokea upande wa pili wa barabara. Yule mdada akatamka, "Pundaaaaa!".
"Punda mwenyewe, ng'ombe we...