Eti....!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
(a)Ni mayai mangapi waweza weka katika kapu tupu? (b)Ni Mara ngapi tunaweza kutoa 6 kutoka 30?
 
duh! Yangu macho mana unaweza ukachemka mbaya kwa kubahatisha so ndoja nione nitarud
 
Hence concluded!
Mkuu hiyo (a) nakupinga kwa sababu unaweza kuweka mayai hata matatu kwa wakati mmoja kwenye kapu tupu kwa hiyo hilo jibu la 'moja' halina mashiko. linaweza kuwa yai moja yanaweza kuwa mawili matatu hata mane, inategemea ulivyoyashika.
 
Mh!kweli bwana,nakubaliana na wewe mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom