Guu la Kasuku

Sigma

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
5,006
1,254
Mfugaji wa kasuku alimrudisha kasuku kwa muuzaji ili ampe mwingine kwani anatukana sana,
Muuzaji kampa mwingine na kumwambia huyu mstaarabu ten akinyanyua mguu wa kulia anaongea kiingereza, wa kushoto anaongea kihindi.
Jamaa kauliza akinyanyua yote?
Kasuku akadakia " ******** si ntaanguka"
 
Back
Top Bottom