Mtoto wa kichina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa kichina

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MAMMAMIA, Mar 30, 2011.

 1. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mtoto mmoja wa kichina, Yu U. Chi, alihamia Marekani na wazazi wake . Siku ya kwanza ya darasa, baada ya mwalimu kumtamblisha akasema.
  Leo tujikumbushe kidogo historia ya Marekani. Nani alitamka 'serikali ya watu kwa ajili ya watu'?"
  Watoto wote kimyaaa! Baada ya muda Chi akajibu:
  "Abraham Lincoln, mwaka 1863"

  Nzuri saana Chi! Nyinyi hamuoni aibu kuwa mgeni kaja siku moja tu anajua kuliko nyinyi wazaliwa? alisema mwalimu huku wanafunzi wakizungumza chini kwa chini. Mmoja akanong'ona, "Hii michina bwana!"
  Mwalimu kusika akauliza:
  Nani kasema hivyo?
  Chi akajibu:
  "General MacAthur, 1942".
  Wanafunzi wakiwa wamekerwa na ujuwaji wa Chi, mmoja akamlembea kitu kizito, akaanguka na kuzimia.

  Mwalimu akamwangalia mwanafunzi mtundu kuliko wote kwa jicho la shutuma kuwa yeye ndie alomlembea Chi. Yule mwanafunzi kwa kujitetea akasema:
  "Mmi sihusiki"
  Chi akiwa ndio kwanza anapata fahamu, akanyanyuka na kujibu:
  "Kikwete, tarehe 5 February 2011 alipokuwa anajitetea kuhusu Dowans"
   
 2. Kelvin Joseph

  Kelvin Joseph Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mchina noma
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Suzuki na Chi.....sijaelewa hapo.
   
 4. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  umejichanganya anza upya Chi Suzuki,kaanguka ,kitu kizito,kapata fahamu etc

  Utumbo
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mie ndio cpati mahusiano kabsa!
   
 6. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  hivi hayo majina ya chi. na suzuki yamekaaje ama ndio tafsiri yake?
   
 7. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Makosa ya uandishi, tayari nmeshasahihisha.
   
 8. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naomba nikushukuru kwasababu umefanikiwa kufikisha ujumbe kwa adhira na binafsi nimecheka kwa kiwango cha kuhitaji 1lt ya juice ya ukwaju ngoja nikaisake kwanza teheteheteheteheee!!
   
 9. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Darasa ndg yangu, wengine umewaacha solemba!
   
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  The main theme is "who said "this*"?
  *Serikali ya watu...Lincoln 1832 wakati wa kutangaza demokrasia
  *hii Michina...General MacArthur 1942 wa World War II
  * Mimi sihusiki... Kikwete na Dowans 2011
   
Loading...