Kuna ukweli wowote kuhusu JK? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna ukweli wowote kuhusu JK?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Indume Yene, Mar 31, 2011.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nimesikiliza hii video ambayo imetundikwa kwenye Youtube. Msikilize mzungumzaji wa pili akizungumzia Rais JK kupata kikombe cha Babu. Je ni kweli?

  Nawasilisha.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hakuna attachment ya video katika tundiko lako.
   
 3. D

  DONALD MGANGA Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na baada ya kikombe na apone na kushughulikia Kero za nchi hii
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Mhhhhh..............
   
 5. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  huyo mzungumzaji si amesema kama wewe ulivyobandika hapa? Labda umweke JK mwenyewe akipata kikombe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. m

  masingo sharili Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani ni dhambi kupata kikombe ikiwa na yeye ni mgonjwa?
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwanza siyo kweli kwamba JK amepata kikombe cha babu kama inavyodaiwa na wazushi waliotapakaa kila mahali na ambao wanahisi hawawezi kukitia uhalali kikombe cha babu bila kuwataja wakubwa ambao wengine hawajui hata Samunge iliko.

  Lakini hata tuki-assume kwamba amepata kikombe then what? Watu wanashindwa kuelewa kwamba rais naye ni binadamu mwenye utashi na mapenzi yake. Kama anaamini kwamba kuna uponyaji anahitaji kusubiri aje Obama kupata kikombe ndipo na yeye aamini juu ya ukweli wa uponyaji wake? Tuache kudhani kwamba Rais hana haki kama raia wengine. Mbona akienda msikitini hatusemi lolote? Si kwa sababu hilo siyo jambo la ajabu? Mimi nafikiri criticism anayopewa rais ni utterly uncalled for and unfair. Kule Gambia kuna Rais anayedai kuponya ukimwi kwa dawa za kienyeji lakini hakuna hata aliyepiga makelele yanayopigwa hapa kwetu. Very unfair!
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Inaweza kuwa kweli kwa kuwa Baraza lake karibu lote limekunywa....conspiracy theories zinadai yeye alifika alfajiri sana na ma VX meusi matatu....babu akasema masharti ya dawa mpaka jua lichomoze...akakaa kwenye gari masaa matatu...akabwia akaelekea kwenye zile nyayo ya kale...baada ya raia kuon Rais kanywa ndio wakaanza kufurika kama ilivyo sasa...lakini anaonekana yuko revitalised ingawa jana niliona gari la REDBULL mitaa ya magogoni...:smile-big:

  [​IMG]
   
 9. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Ipo bana....
   
 10. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 11. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
   
 12. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
   
 13. w

  watenda Member

  #13
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sawa! Kwani kuna ubaya gani? Kwani angeenda Muhimbili mngesemaje?
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
   
 15. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
   
 16. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwenye blue hapo una uhakika?Hapo kwenye black u h've to respect u'r self unamaanisha kitu kikifanywa na Obama na Mh_wetu haruki?

  Hapo kwenye red fikiri kidogo mkuu usiwe unatetea tu upu**m*b***avu eti kisa na wewe uonekane unamtetea Rais.

  Kwanza fahamu kua huyu ni kiongozi mkuu wa inji yetu haayupo kwaajili ya dini au kikundi fulani .
  Muda na pesa zetu nyingi tu zimetumika kumuweka hapo alipo sasa unataka kutufundisha uwoga na ujinga wa kutofuatilia afya ya rais wetu?

  Labda nikuulize sasa maoni yako ninini kwake?
  Unataka kumtia moyo aendelee kua onja onja?
  Unayajua madhara na hasara tutakayoipata kama Taifa ikitokea amedhurika na lolote lililo baya baada ya kufanya maazi yasiyo na tija kwa taifa?
  Au humpendi wewe?

  Usiwe na mawazo mgando kwa kudhani kumsifia au kumtetea kutamsaidia unatakiwa kupiga kichwani ili kama ni kweli ajue amekurupuka na kama sivyo anapaswa kujitambua kua yeye amebeba dhamana kubwa kwenye inji yetu so asiwe tester.

  You have to think deep sio una bwabwaja tu mkuu.
   
Loading...