Kitendawili ???????

Kitendawili ???????

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,651
Hana miguu lakini anasimama...
Hana mikono lakini anachapa watu wazima mpaka wanalia...
Ni mdogo kiumbo,lakini akikasirika anaongezeka ukubwa..
Ana jicho moja,lakini usiku kwenye giza anaona kuliko wenye macho mawili..
Hali chakula,lakini hutapika....
Huishi kwenye joto.....

Ni nani huyu???????????
 
mimi nimependa kuwa hana mikono lakini anachapa watu wazima mpaka wanalia.
respect......lol
 
Ana jicho moja,lakini usiku kwenye giza anaona kuliko wenye macho mawili..
 
pen......s??like this???mm ngoja kwanza nkape supu ntarudi bidae
 
Jibu lake ni Abdallah kichwa wazi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Umesahau mshikaji jamaa amebeba zigo la mipira miwili kwenye rambo na autui kamwe.
 
anafanya kazi migodini na anapenda sana shift za usiku afu hachoki wala kutoka mgodini hadi atapike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom