Pundaaaaaaaa!!!!

Pundaaaaaaaa!!!!

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Mwanamume mmoja alikuwa akiendesha gari nje ya mji, karibu na krosi akapishana na mdada akitokea upande wa pili wa barabara. Yule mdada akatamka, "Pundaaaaa!".

"Punda mwenyewe, ng'ombe we! alitamka yule mkaka kwa kufikiria kuwa katukanwa.
Mbele kidogo ya safari yake akakutana na kundi la punda na kwa kwa kuwa alikuwa anaendesha kwa kasi akashindwa kuwakwepa, akapata ajali.

FUNZO?
 
hahahahhahah ahsante sana nimecheka mpaka basi.
 
Fundisho:
Tutumie masikio kwa kusikia na sio vinginevyo.
 
Back
Top Bottom