Konda na denti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Konda na denti

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mchakachuaji192, Mar 31, 2011.

 1. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Dogo m1 wa darasa la kwanza alipanda daladala huku akiimba kwa sauti kubwa v2 alivyofundishwa school “baba akiwa jogoo mama akiwa kuku mimi ntakua kifaranga,… baba akiwa beberu mama akiwa mbuzi mimi nitakua ndama’’ dogo aliimba kwa muda mrefu mpaka kondakta akakasirika, akamwambia ‘’Ah weee! hebu nyamaza.. jee kama baba angekua ****** na mama malaya weee ungekua nani?” dogo dogo akamjibu “ningekua kondakta
   
 2. duda

  duda Senior Member

  #2
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo kondakta ndo akome, kwanini anamwingilia mwenzake katika kujifunza kwake!!!
   
Loading...