mtihani w maarifa yadunia;

mtihani w maarifa yadunia;

msadapadasi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
504
Reaction score
62
section G: jibu maswali yote;
marks awarded 100%
time: 10mnts.

QN1. kama hela haitoki kwenye miti, kwanini benki zina matawi?
QN2. kwa nini gundi haigandi kwenye chupa yake?
QN3. kama hatutakiwi kuendesha gari tukiwa tumelewa, kwa nini bar kuna car packing?
QN4. kama neno abbreviation lina maana ya ufupisho, kwa nini lenyewe ni refu?
MWISHO:
 
Ndugu msada...... Ukijibu vema kuna zawadi? maana maswali hayo ya ukweli
 
Ndugu msada...... Ukijibu vema kuna zawadi? maana maswali hayo ya ukweli
sure ... sure!! zawadi ipo pamoja na complementary ya kwenda Lolindo kw ababu kupata kikombe.ehe... ehee.. teh..teheee...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom