Kama ni wewe...

Kama ni wewe...

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
Mzee saidi kasindikizwa na mkewe hadi kituo cha basi kuwahi safari.mkewe aliporudi home saidi alikumbuka amesahau CV yake ikabidi airudie.kufika nyumbani kampata mkewe anaosha vyombo na kutaka kumsapraizi akamfumba macho kwa kutoka kwa nyuma..mkewe akajibu aaaah! We shabani,hata hungoji mzee saidi akafika mbali tukaanza mambo yetu..usiku wote ni wetu mpaka atakaporudi mzee saidi kesho kutwa.
 
Mmh! nadhani ni nyongeza c habari ya kweli inaonekana ya kubuni zaidi lkn mm!
 
<p>

</p>
<p>&nbsp;</p>

si eti ina kaukweli ndiposa nikaiweka hapa ila pia inaeza tokea kwa njia flani tofauti.
 
I think ntamwambia amelete huyo shaban ili niwafungishe ndoa ya jamvi on the spot.
 
Hapa unaweza ukaishia kwa Babu Mwasapile kwa pressure!!!
 
Mzee saidi kasindikizwa na mkewe hadi kituo cha basi kuwahi safari.mkewe aliporudi home saidi alikumbuka amesahau CV yake ikabidi airudie.kufika nyumbani kampata mkewe anaosha vyombo na kutaka kumsapraizi akamfumba macho kwa kutoka kwa nyuma..mkewe akajibu aaaah! We shabani,hata hungoji mzee saidi akafika mbali tukaanza mambo yetu..usiku wote ni wetu mpaka atakaporudi mzee saidi kesho kutwa.
Dah!nitafanya kama cjasikia nachukua CV zangu nachapa lapa ila nikirudi nampakia faster tunachoma angaza .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom